Ulitaka akuimbishe ? Atakuimbishaje umri umeenda na sura sio rafiki? Maziwa kama papai bovu akuimbishe nani?
Umejichubua utafikiri mhindi koko. Kwendra uko
Kula like hyo mkuu..wengne ni introvert by natureKama mm mkuu, ukinikuta Job au kitaa nipo bize na simu sitka kuongea na kama nkienda Bar hukaa kaunta tu!!
Mkuu. Huyo demu kanichefua kwa kutaka kuimbishwa na waungwana. Kwani kwenye conference watu wanaenda kuimbisha au kujenga nchi? Wema mwenyewe haimbishwi na ananyea debe chini ya uangalizi wa nyapara itakua huyo mghundu? Ajaribu bahati yake Kimboka, na sidhani kama Makonda wa daladala wamekaukiwa kiasi hicho. Akwendre huko....Mkuu acha basi nakula papai hapa nilipo ..ila limeiva sio bovu kama la mtoa mada
Izo harakati za maana ndo utupe idea bro. mana zetu naona hazina mana sijui tunafeli wapi?.Acha tuendelee kujichanga na kina zero IQ
Kajenga picha alivyo mzuri. Pia katumia habari picha anazotumiaga Gudume katika simulizi zake.Hahahaa aisee! Ila sio kila akuonae lazima akuimbishe, pengine hajavutiwa na wewe
Nimekupenda bure mkuu.Khaaaa mbn kama umepanick brother angu sikutegemea kama unaongea maneno kama haya.
Mm kilazaa asanteee Nashukuru .
Mimi nimewahi kukutongoza hebu nipe ushahidi wa SMS za pm nilizokutongoza.
Kama upo serious na unachokisema.
Kama humanaishi barikiwa na hivyo piah
anakutania bwana sistaaKhaaaa mbn kama umepanick brother angu sikutegemea kama unaongea maneno kama haya.
Mm kilazaa asanteee Nashukuru .
Mimi nimewahi kukutongoza hebu nipe ushahidi wa SMS za pm nilizokutongoza.
Kama upo serious na unachokisema.
Kama humanaishi barikiwa na hivyo piah
Inaelekea kila uendapo, unategemea utongozwe!Asalam aleikhum.
Leo tulikuwa na meeting sehemu flani huko posta. Watu walikuwa wengi zsidi ya 50 tukijadiliana mambo mbalimbali.
Mimi nlifika kwa kuchelewa kidogo sababu ya Traffic Jam.baadaye nilipofika sehemu husika pia kutokana na mambo ya usalama nikapoteza dk 5 tena kwenye entrance.
Nmeingia ndani haraka nikaangaza macho nikaona nisipite mbele sababu ya haya maumbo yetu wengine tunanyanyasika kijinsia.
Nikamwona kaka mmoja mtanashati amekaa ametulia sana pembeni yake kiti hakina mtu.nikavutiwa na utulivu wake na kwenda kukaa naye.nlimsalimia akajibu pasipo hata kuntizama.nlikwazika kidogo.
Aliyekuwa anaongea alipomaliza akataka tulioingia late tujitambulishe ...nikasimama nikajitambulisha hapo ndo nikaona huyu kaka sas anaanza kuntizama kwa chati.
Nikimtizama anakwepa...then tena anarudisha macho yake kuntizama.kwa kuibia....baadaye akashika simu na kuingia JF. Hapo ndo nlishtuka.... Jamani leo nmekutana na GuDume kidogo nicheke...nikajizuia.
Nikasema nitamwona kama anaweza hata kuniimbisha maana ni wazi alikuwa ananitizama kwa kuibia.nmekuja msemesha kuhusu agenda kadhaa ana aibu ,hawezi hata nikazia macho...anaongea anatizama chini na pembeni. Gudume ana aibu...khaaaah??? Nmeshangaa... Mpaka tunaagana hajui kama mimi niliyekaa naye pale ni mimi.
Nmechukua namba yake ya simu akibisha tu namtext... Inawezekana siku nikakutana na GENTAMYCINE akaanza kuuma uma vidole... Au Mshana Jr akawa anatafuna kucha kwa aibu ...[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Wenyewe wana kwambia ikipita wik hajatongwa anajiona karogwa[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Inaelekea kila uendapo, unategemea utongozwe!
Wenyewe wana kwambia ikipita wik hajatongwa anajiona karogwa[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]