Huyu Member wa JF Nanamucho aache dharau kama vipi anikutanishe na hayo madanga yake ajue uwezo wetu kipesa mfano mimi baharia Mkataa NDOA maarufu.

Huyu Member wa JF Nanamucho aache dharau kama vipi anikutanishe na hayo madanga yake ajue uwezo wetu kipesa mfano mimi baharia Mkataa NDOA maarufu.

Pang Fung Mi

JF-Expert Member
Joined
Nov 10, 2022
Posts
6,653
Reaction score
13,919
Hello family,

👇👇👇
Natuma salamu kwa huyu member mwenye picha yenye nyashi a.k.a Nanamucho amefanye dharau eti sisi wadau humu hatuna pesa, sasa natoa ofa kwake na mabasha wake nikutane nao sehemu bill ntalipa mimi, dharau za kijinga afanye huko kijijini kwao.

Mfikishieni taarifa weekend hii ya sikukuu ya Eid nikutane nae yeye na hao wajinga wake bill kila kitu kwangu.

Ntarudi kujibu kila shambulizi

Wana Simba SC hatunaga ujinga huo inapokuja swala kutumia maeneo ya starehe.

Wadiz
 
Banned
 

Attachments

  • Screenshot_20230419-220932.png
    Screenshot_20230419-220932.png
    59.7 KB · Views: 5
Back
Top Bottom