LIKUD
JF-Expert Member
- Dec 26, 2012
- 19,943
- 37,839
Duh huu uganga ni fashion ya kizamani mno.. Zamani mno enzi Mr. Noah bado yupo ndani ya safina.
Mbappe wa kwanza kuingia uwanjani , Mbappe wa kwanza kutoka uwanjani. Uchawi kama wa Simba na Yanga.. Uchawi wa kitoto kwelikweli Ufaransa wamepigwa šš.
Anyways kesho QATAR wagomee mechi, nimeona kwenye ratiba wanacheza na BOSNIA & HERZEGOVINA... Mtachezaje na nchi mbili.. FIFA waamue wenyewe mechi iwe kati ya QATAR vs BOSNIA au QATAR vs Herzegovina, sio mambo ya QATAR vs Bosnia & Herzegovina...
Unasubiri mechi ya Senegal vs Norway ukiwa Bar Gani? Naanza mimi nipo Velvet