Huyu Mganga wa Ufaransa mbona ana fanya uganga wa kizamani hivyo?

Wamepangwa wachukue ili utazamaji uwe mkubwa
Nchi ambazo kwa sasa globally zinaleta utazamaji mkubwa ni France, Spain na Argentina zikifuatiwa na Germany na Brazil.
Miaka ya zamani world cup ilikuwa inatazamwa sana kwa sababu ya Brazil ikifuatiwa na Italy and Germany but those days are long gone.
Yaani kidunia bora England inaweza kusababisha watu wakawa na hamu ya kuangalia kuliko Portugal.
 
We are talking about CR7 Mkuu Kuna watabiri wengi tu wane suggest
 
Back
Top Bottom