Uchaguzi 2020 Huyu Mjumbe na MNEC alimsema Rais Magufuli ila Magufuli alimfokea na sasa amethibitisha kufoka kwake Tunduma kuchere

Tunduru au Tunduma?
Jimbo la Silinde ni Momba zamani ilikuwa Tunduma.
 
Tunduru au Tunduma?
Jimbo la Silinde ni Momba zamani ilikuwa Tunduma.
Tunduma na momba ni majimbo mawili tofauti ..zamani lilikuwa Jimbo moja lkn liligawanywa ..2015 kuja 2020 Silinde alikuwa mbunge wa momba , zamani likiitwa Jimbo la mbozi magharibi
 
Mkuu ukumbuke kura za maoni zilipigwa na wajumbe wachache tu ila mamilioni ya wananchi ambao ndio wapigakura wa mwisho ndio wanaompenda silinde hivyo acha asili ichukue mkondo wake
Hachomoi ccm hawamtaki kura za maoni shaidi
 
Huyu Silinde alipiga goti..
Ni kweli mkuu,alipiga magoti mbele ya wajumbe kama kalata yake ya mwisho lakini wajumbe ni noma walimwambia mkono mtupu haulambwi wakampiga chini..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…