Uchaguzi 2020 Huyu Mjumbe na MNEC alimsema Rais Magufuli ila Magufuli alimfokea na sasa amethibitisha kufoka kwake Tunduma kuchere

Uchaguzi 2020 Huyu Mjumbe na MNEC alimsema Rais Magufuli ila Magufuli alimfokea na sasa amethibitisha kufoka kwake Tunduma kuchere

1598034249159.png
 
Mimi sio mwanaccm ila ninakumbuka hivi majuzi tu walipoketi wanaccm kwenye mkutano wa kumpitisha mgombea wao wa kiti cha uraisi kuna mjumbe mmoja kutoka mkoani Ruvuma kama sio TUNDURU mjumbe mmoja alismama na kutoa maoni yake ya moyoni ambapo alimsii Mh Rais kuacha tabia ya kuwateua au kuwapitisha waliotoka upinzani ili hali kuna wafia chama.

Katika kujibu shutuma hiyo Rais amlijibu kuwa tabia hiyo hawezi kuacha kwani walio kwenye chama yaani wafia ccm wakismamishwa hawashindi

Jimbo ILO ni la silinde na wajumbe walimkata kweli SASA ccm imemrudisha je kibuli hiki si mtaji tosha kwa upinzani?tukutane jarambani
Tunduru au Tunduma?
Jimbo la Silinde ni Momba zamani ilikuwa Tunduma.
 
Tunduru au Tunduma?
Jimbo la Silinde ni Momba zamani ilikuwa Tunduma.
Tunduma na momba ni majimbo mawili tofauti ..zamani lilikuwa Jimbo moja lkn liligawanywa ..2015 kuja 2020 Silinde alikuwa mbunge wa momba , zamani likiitwa Jimbo la mbozi magharibi
 
Mkuu ukumbuke kura za maoni zilipigwa na wajumbe wachache tu ila mamilioni ya wananchi ambao ndio wapigakura wa mwisho ndio wanaompenda silinde hivyo acha asili ichukue mkondo wake
Hachomoi ccm hawamtaki kura za maoni shaidi
 
Huyu Silinde alipiga goti..
Ni kweli mkuu,alipiga magoti mbele ya wajumbe kama kalata yake ya mwisho lakini wajumbe ni noma walimwambia mkono mtupu haulambwi wakampiga chini..
 
Back
Top Bottom