Volatility
JF-Expert Member
- Aug 22, 2018
- 3,935
- 7,513
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahaha waende wapi vyama vimejaa, labda waende ccm B.Huu msimu hakuna wanaohamia CCM?
Nilipewa sharti hili na mganga nilipotaka kuwaweka sawa wajumbe. Sharti oikanishinda nikaangukia pua.hahahahahahaha, utakua mganga wa kienyeji wewe.
Unampenda ww wala sio watu wa Tunduma..mbona alifeli kwenye kura za maoni?Silinde anapendwa sana Tunduma
alikuwa akipendwa ndani ya gwanda.Silinde anapendwa sana Tunduma
Tunduru au Tunduma?Mimi sio mwanaccm ila ninakumbuka hivi majuzi tu walipoketi wanaccm kwenye mkutano wa kumpitisha mgombea wao wa kiti cha uraisi kuna mjumbe mmoja kutoka mkoani Ruvuma kama sio TUNDURU mjumbe mmoja alismama na kutoa maoni yake ya moyoni ambapo alimsii Mh Rais kuacha tabia ya kuwateua au kuwapitisha waliotoka upinzani ili hali kuna wafia chama.
Katika kujibu shutuma hiyo Rais amlijibu kuwa tabia hiyo hawezi kuacha kwani walio kwenye chama yaani wafia ccm wakismamishwa hawashindi
Jimbo ILO ni la silinde na wajumbe walimkata kweli SASA ccm imemrudisha je kibuli hiki si mtaji tosha kwa upinzani?tukutane jarambani
Tunduma na momba ni majimbo mawili tofauti ..zamani lilikuwa Jimbo moja lkn liligawanywa ..2015 kuja 2020 Silinde alikuwa mbunge wa momba , zamani likiitwa Jimbo la mbozi magharibiTunduru au Tunduma?
Jimbo la Silinde ni Momba zamani ilikuwa Tunduma.
Nahisi kuwa Tunduma wanapenda Chadema zaidi ya mtu
Labda wew na mumeoSilinde anapendwa sana Tunduma
tunduma ya wapiSilinde anapendwa sana Tunduma
Kweli aiseee, nakumbuka alivyowapigisha jaramba maccm chaguzi mbili mfululizoSilinde anapendwa sana Tunduma
Hachomoi ccm hawamtaki kura za maoni shaidi
Ana mume tangu lini?Labda wew na mumeo
Ni kweli mkuu,alipiga magoti mbele ya wajumbe kama kalata yake ya mwisho lakini wajumbe ni noma walimwambia mkono mtupu haulambwi wakampiga chini..Huyu Silinde alipiga goti..