Bishop Hiluka
JF-Expert Member
- Aug 12, 2011
- 7,147
- 14,699
Jamaa kwa kuchoshwa na tabia ya mkewe iliyobadilika ghafla akaamua kumpleka kwa Mchungaji ili amuelezee nini tatizo mambo yakawa hivi:
Mchungaji: Mumeo analalamika umebadilika sana siku hizi nini tatizo?
Mke: Baba Mchungaji tatizo ni hali ngumu ya maisha.. sio mimi
Mchungaji: Hebu fafanua!
Mke: Unakuta asubuhi naenda kazini sina hela na inanibidi nichukue taxi, nikifika kazini dereva anauliza unanilipa au tufanyeje? Mi nachagua tufanyeje
Mchungaji: Tufanyeje ni nini?
Mke: Kulala naye
Mchungaji: Ooh endelea…
Mke: Inafika wakati wa kula Sele akiniletea chakula naye anauliza unanilipa au tufanyeje? Mi nachagua tufanyeje
Mchungaji: Mmh aiseee…
Mke: Hata nkienda kwa dokta naye anauliza unanilipa au tufanyeje? Mi nachagua tufanyeje
Mchungaji: Duh!!
Mke: hata wakati wa kurudi home nikichukua taxi ni yaleyale nachagua tufanyeje. Ndio maana nikifika nyumbani sina hamu kabisa…
Mchungaji: Aisee pole sana mwanangu, sasa tumwambie mumeo au tufanyeje?...