Huyu mke wa mkubwa wa Mkubwa Fella ,hivi ni shombe shombe au mzungu???

Utakua mkorogo uliochanganywa omo,hiliki,jiki nadhani maaana mhhhh akipata ajali hashoneki. Asante Mungu kwa kunipa U black beuty wangu sina habariiiiii
Bila kusahau maji ya batter na dawa mseto ya malaria inatiwa kwnye mkorogo
Kuna mchanganyo fulani huwa unanicha hoi, wanachukua omo+jik+makorokoro alafu mzigo unawekwa jikoni, unachemshwaaaa hadi ufoke, unaepuliwa ukipoa mtu anajipga mambo akitoka hapo anang'aa ka kioo [emoji38][emoji38][emoji38]
 
Wakati wengine wakitafuata dawa ya stretch marks kwa bidii

wengine wanatafuta stretch marks kwa bidii , kweli world isnt fair.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…