shushushu VIP
JF-Expert Member
- Jul 24, 2016
- 4,799
- 4,312
Amepiga puti
Black is beautyUtakua mkorogo uliochanganywa omo,hiliki,jiki nadhani maaana mhhhh akipata ajali hashoneki. Asante Mungu kwa kunipa U black beuty wangu sina habariiiiii
Hewalaaaa
Muonekano wa huyu mwanamama mke wa mkubwa Fella huwa unanipa mkanganyiko maana ni wa kipekee,kwa wanao mjua hebu tujuzeni ni mzungu au ni shombe shombe???
-Ndumilakuwili-