mwandende JR
JF-Expert Member
- Aug 6, 2017
- 1,090
- 1,336
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
ajari= ajaliMkorogo uliotoa ngozi layer ya kwanza. Yaani akichanika au akipata ajari hana ujanja
Msukuma wa Kayenze
Huyo ni Mtu, Mdoli au Jini?Mkorogo balaa aisee
Mkorogo 1st class,hiyo picha ya kwanza mmh
Sio vyema kudiscus wake za watu maeneo kama haya assume we ndo fella au mkewe unapita hapa unakuta watu wanamjadil mke wako kwa mambo yasiyokuwa na maana
blame no body
Huyo atakuwa ni maromboso...ahahaha. sio kwa utetezi huo wa mke wa boss.Nakuona Temba
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kuna rangi ya mtume alafu **** rangi ya ibilisi,sasa sjui huyu yuko kwenye kategori ipi kati ya hizo
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ukiweka picha inatisha usisahau kuweka tahadhari kwa atakayefungua,hiyo picha ya kwanza imetisha nikajikuta nimerusha simu mbali mpaka imepasuka screen.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mtu aliyepaka mkorogoHuyo ni Mtu, Mdoli au Jini?
Asalaleee[emoji86] [emoji87] [emoji85]
Hatari sana.