kyanyangwe
JF-Expert Member
- Oct 31, 2018
- 1,275
- 3,316
Unasifiaje mwanaume mwenzio?Nimeona kapost picha ya bwana ake,nikamuuliza ndio shemeji au?akajibu ndio,nami nikamwambia he looks smart,akanijibu smart kama wewe.hii sentence ya kumfananisha mumewe na mimi nyie mnaitafsiri vipi wakuu?
View attachment 2233227
Hakikisha ky haiko mbali kutoka hapo ulipoNimeona kapost picha ya bwana yake, nikamuuliza ndio shemeji au?akajibu ndio, nami nikamwambia he looks smart, akanijibu smart kama wewe. Hii sentence ya kumfananisha mumewe na mimi nyie mnaitafsiri vipi wakuu?
View attachment 2233227
Utakuja kuumia.Mengine unayaacha yapita mbali na upeo wa macho yako.Nimeona kapost picha ya bwana yake, nikamuuliza ndio shemeji au?akajibu ndio, nami nikamwambia he looks smart, akanijibu smart kama wewe. Hii sentence ya kumfananisha mumewe na mimi nyie mnaitafsiri vipi wakuu?
View attachment 2233227
[emoji23][emoji23]Siku ukidakwa ndipo utajua Na wewe Ni mtamu.
Kwamba "AYU"....Aisee huu Mji unamambo sana[emoji849]Tembea na "AYU" au KY kwa isalama wa marinda yakoView attachment 2233298