Godfirst
JF-Expert Member
- Dec 7, 2017
- 407
- 474
Kwani mkiishia hapo kuna kibaya gan sio kila kitu cha kubebaNimeona kapost picha ya bwana yake, nikamuuliza ndio shemeji au?akajibu ndio, nami nikamwambia he looks smart, akanijibu smart kama wewe. Hii sentence ya kumfananisha mumewe na mimi nyie mnaitafsiri vipi wakuu?
View attachment 2233227