Huyu mke wa mtu analika niendelea naye au nimkaushie tu?

Hivi huwa mnajisikiaje kutembea na wake za watu?

Ushaharibu ndoa ya mtu haitoshi unakuja fungua na thread umu kuproof upuuzi wako, jaman tunaelekea wapi? Mbona hatupendani?.

Jiheshimu na uheshimu ndoa za watu utakuja kufanywa mambo ya aibu yatakayo , haribu historia ya maisha yako.

Tubadirike jaman tuheshimu mahusiano ya watu, mbn wanawake single wako wengi tuu.
 
Tulia tule mema ya nchi
 
Sasa hapo kinachokufanya uone analika ni kitu gani. Nakushauri kama una huo mpango upotezee maana akikuchokolea hutokuja kukuabali kuwa ndo yeye amekukataa!
 
Hahahaaa sasa we ungeanza .mi smart kwa mavaz ila kitandani sijuii kama namzid uyo
Unawska emoj za aibu akikujib ameisha
 
Sasa kama mwanamke anataka utamlaumu vipi mwamba?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nimeona kapost picha ya bwana yake, nikamuuliza ndio shemeji au?akajibu ndio, nami nikamwambia he looks smart, akanijibu smart kama wewe. Hii sentence ya kumfananisha mumewe na mimi nyie mnaitafsiri vipi wakuu?

View attachment 2233227
Mkuu, hapo hakuna cha story wala maji, hakuna cha kuongezea! Mpigie simu sasa hivi mweleze kuwa unampenda akukute gheto!

Fanya hivyo!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…