huyu mlokole kanikwaza, ingawa naogopa kusema hivyo!

Hamna, mi ni mwema kabisa na hata sina gubu. Sikuelewaelewa tu kijembe chake
We mwenyewe umesema ni mlokole yeye Iman yake inamuelekeza huko.. wewe ni daraja tu mungu kakutumia. Ila Amin kuwa utabk ndan ya moyo wake... Hilo halifutik
 
Oh, shukrani!!
Ndiyo, ni mlokole kabisa!
 
alikuwa na shida ya muda mrefu, na nimehangaika kweli kumsaidia nikiwa kama msimamizi wake wa kituo. Katika kumsaidia huko nimejikuta nikikaripiwa, nikizodolewa, nikishutumiwa n.k. Juzi, baada ya miaka kama mitatu ya kuhangaika, amefanikiwa. Cha ajabu baada tu ya mafanikio anatuma ujumbe, 'dunia hii hakuna mjanja wa kukusemea au kukupigania zaidi ya Mungu, hakunaaaa'!

Nashangaa: Kwa mawazo yangu nilifikiri atatoa angalau ka 'ahsante' na kwangu pia (ingawa si kitu ninachokitolea macho sana) kwa kushiriki katika mchakato.

Najiuliza: hiki ni kijembe kwangu kwamba hakuridhika na msaada wangu au?

Hata hivyo naogopa kulaumu sababu amemtaja Mungu, maana itakuwa km nina wivu na Muumba, kitu ambacho si sahihi.

Nimueleweje huyu?!!!
Tenda wema wende zaki usingoje shukurani

Sent from my SM-N960F using JamiiForums mobile app
 
Hata ukiwa na dem mlokole ukimpa hela ya kusuka status ataweka " napendeza kwa uwezo wake mola" [emoji23][emoji23]so wazoee
 
we mpotezeee tena usikae karibu sana naeeee
huwezi jua ulokole wake ni wa kuongea mdomoni ila kwa ndani ni firee fire 🔥🔥
 
alikuwa na shida ya muda mrefu, na nimehangaika kweli kumsaidia nikiwa kama msimamizi wake wa kituo. Katika kumsaidia huko nimejikuta nikikaripiwa, nikizodolewa, nikishutumiwa n.k. Juzi, baada ya miaka kama mitatu ya kuhangaika, amefanikiwa. Cha ajabu baada tu ya mafanikio anatuma ujumbe, 'dunia hii hakuna mjanja wa kukusemea au kukupigania zaidi ya Mungu, hakunaaaa'!

Nashangaa: Kwa mawazo yangu nilifikiri atatoa angalau ka 'ahsante' na kwangu pia (ingawa si kitu ninachokitolea macho sana) kwa kushiriki katika mchakato.

Najiuliza: hiki ni kijembe kwangu kwamba hakuridhika na msaada wangu au?

Hata hivyo naogopa kulaumu sababu amemtaja Mungu, maana itakuwa km nina wivu na Muumba, kitu ambacho si sahihi.

Nimueleweje huyu?!!!
Kiongozi; Unajua ukimsaidia mtu sio wewe uliyemsaidia ni Mungu amemsaidia
Mf: Mtu anaomba apate ada ya shule ya mtoto wake; Mungu ndiye hutuma mtu ili akakutanae naye amsaidie kulipa hyo Ada
Kwa hiyo msaada ulio kuwa unampa ni Mungu aliyekuwa anampa kupitia kwako na Kama anashukuru Mungu ni sawa kabisa wala usihofu kwani ulisha pata malipo (dhawabu) kwa kutekeleza jukumu alilokupa Mungu
Nakuombea kwa Mungu akuzidishie uwezo wa kuwasaidia wahitaji kwani malipo yake utakutana nayo huko kwake)
 
Wewe subiri thawabu za Maulana...

Kama umetenda wema kwa muhitaji, ina maana Maulana kakutumia weye kama chombo chake...
 
Hata wewe uliongozwa na Mungu kumsaidia.

Tulia yatamjia makubwa mpaka atashika kiuno
 
Watu wasio na shukrani ni moja ya kundi la watu wabaya wanaotajwa kwenye Biblia soma​

2 Timotheo 3​

1 Lakini fahamu jambo hili: kwamba siku za mwisho kutakuwa na nyakati za taabu. 2 Maana watu watakuwa wenye kujipenda wenyewe, wenye kupenda fedha, wenye kujisifu, wenye kiburi, watukanaji, wasiotii wazazi wao, wasio na shukrani, wasio na utakatifu; 3 wasio na ubinadamu, wasiopenda kusuluhishwa, wachonganishi, walafi, wakatili, wasiopenda mema; 4 wasaliti, wasiojali kitu, waliojaa majivuno, wapendao anasa badala ya kumpenda Mungu. 5 Hao ni watu ambao kwa nje wataonekana kuwa wana dini, huku wakikana nguvu ya imani yao. Jiepushe na watu wa jinsi hiyo.
 
alikuwa na shida ya muda mrefu, na nimehangaika kweli kumsaidia nikiwa kama msimamizi wake wa kituo. Katika kumsaidia huko nimejikuta nikikaripiwa, nikizodolewa, nikishutumiwa n.k. Juzi, baada ya miaka kama mitatu ya kuhangaika, amefanikiwa. Cha ajabu baada tu ya mafanikio anatuma ujumbe, 'dunia hii hakuna mjanja wa kukusemea au kukupigania zaidi ya Mungu, hakunaaaa'!

Nashangaa: Kwa mawazo yangu nilifikiri atatoa angalau ka 'ahsante' na kwangu pia (ingawa si kitu ninachokitolea macho sana) kwa kushiriki katika mchakato.

Najiuliza: hiki ni kijembe kwangu kwamba hakuridhika na msaada wangu au?

Hata hivyo naogopa kulaumu sababu amemtaja Mungu, maana itakuwa km nina wivu na Muumba, kitu ambacho si sahihi.

Nimueleweje huyu?!!!
Wanasema kuwa Mungu hutumia watu kukunyanyua, so bado wa kushukuriwa ni Mungu😀
 
Ukiskia miungu watu ndo kama ww,
Yaani miungu watu huamini bila wao settings zozote hazitofanikiwa.
Wanapenda kuabudiwa na kupewa sifa zote wao.
Na huona wivu pale wanapoona sifa zimeenda nje ya wao.
 
Mleta uzi watu wamestaarabika kidogo hakuna aliyetoa ushauri wa uende kummega maana logically inaonyesha hata wewe umeona sawa alichoandika ila unataka ibilisi mmoja kutoka jf akufundishe cha kufanya
 
alikuwa na shida ya muda mrefu, na nimehangaika kweli kumsaidia nikiwa kama msimamizi wake wa kituo. Katika kumsaidia huko nimejikuta nikikaripiwa, nikizodolewa, nikishutumiwa n.k. Juzi, baada ya miaka kama mitatu ya kuhangaika, amefanikiwa. Cha ajabu baada tu ya mafanikio anatuma ujumbe, 'dunia hii hakuna mjanja wa kukusemea au kukupigania zaidi ya Mungu, hakunaaaa'!

Nashangaa: Kwa mawazo yangu nilifikiri atatoa angalau ka 'ahsante' na kwangu pia (ingawa si kitu ninachokitolea macho sana) kwa kushiriki katika mchakato.

Najiuliza: hiki ni kijembe kwangu kwamba hakuridhika na msaada wangu au?

Hata hivyo naogopa kulaumu sababu amemtaja Mungu, maana itakuwa km nina wivu na Muumba, kitu ambacho si sahihi.

Nimueleweje huyu?!!!
Atajisahau tu
 
Tunashindwa kukuelewa, umemsaidia kitu gani, ushauri? Pesa? Umemwombea kwa mungu? Umemfanyia mpango kwa wakubwa akapandishwa cheo au umemfanyia kitu gani, nashauri uwe unapitia Uzi wako kabla hujaposti
 
Back
Top Bottom