Huyu mpangaji mwenzangu nashindwa kunielewa

Hawana lolote hao. Wanachokitaka ni kukuchokonoa ili wapate kujua undani wa mishe zako. Na yawezekana huyohuyo mama ndio anataka kukujua zaidi.

Hapo cha kufanya ww kuwa busy na mambo yako tu
 
hakuna unalojua kuhusu maisha yangu. kifupi hayo ndio maisha nilio chagua na nina yapenda. na kuhusu kuajiri vijana nitaendelea kuajiri kadri mungu atakapo endelea kunijaalia riziki
Ww unalelewa bana acha zako
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…