Huyu mpangaji mwenzangu nashindwa kunielewa

Huyu mpangaji mwenzangu nashindwa kunielewa

Unajisikiaje kuwa unashinda nyumbani kila siku mkuu? Pamoja na kwamba una biashara zako zinazokuingizia kipato sawa, umetega hata usipokuwepo kazini bado biashara itafanyika nayo ni Sawa tuu.

Lakini kumbuka nature ya mwanaume sio ya kushinda nyumbani kila siku hata kina MO wameajiri na pesa inaingia hata akitaka akae home milele but ana ofisi ambayo utamkuta huko.
Nilichotaka kusema ni kwamba wana haki ya kukusema koz sio kawaida kwa mwanaume kushinda nyumbani kila siku unless hana kazi kabisa.
Trust me hata mke wako atakuwa hayupo comfotable na hiyo hali ila hawezi kusema unless ukibaki home unamsaidia majukumu ya kudeki, kufua, kuosha vyombo au kupika hapo ndio hatajali sana .
Mi mwenyewe mwanaume anayeshinda nyumbani sijui namuonaje?

Mambo ya kimama kabisa
 
Mi mwenyewe mwanaume anayeshinda nyumbani sijui namuonaje?

Mambo ya kimama kabisa
Eti jamani halafu mke wake anaondoka kwenda kazini asubuhi imagine mh kama alivyosema kila mtu ana namna yake ya kuishi. Ila mwanaume wa aina hiyo ni total turn off
 
Wape watu taarifa chache kuhusu wewe. Wasipojua chochote juu yako, watatengeneza za kwao na kimsingi hazitakuwa taarifa nzuri (chanya).
Mfano, waweza kuwabebea bidhaa na kuwaomba wakuungishe kisha ukawaeleza kuwa una maduka yako na umeweka vijana wasimamie nk.
Hawakawii kumwagiza awaletee unga nusu na robo halafu kulipa matanga kisa majirani.
 
Mkuu, issue ndogo kama hii ndio unaandika kurasa 5,,,!!! mbona kama upo kwa ajili ya kijinadi..
Kufuatiliana kwenye maisha ni mambo za kawaida hata ww hapo ulipo Kuna watu unawafuatilia.. Bila kufuatilia maisha ya watu huwezi kuingia kwenye ushindani wa maisha kuelekea mafanikio.
haha
hataki wajue maisha yake ila yupo hapa anatuambia kuhusu biashara zake
 
habari za leo I hope nyoote hamjambo.

wakuu kwa wale wenzangu na mimi ambao bado tunajitafuta yaani tunaishi kwenye nyumba za kupanga mnawezaje kuishi na wapangaji wenzenu wanaotaka kujua maisha yako kindaki ndaki?

iko hivi mimi ni kijana na nina miaka 26, na nina mke japo hatujapata mtoto na nimejiajiri na vibiashara vidogodogo ambavyo nimeajiri vijana. mimi nikusimamia na kuhakikisha mambo yanakua kwenye mstari kama kufuata bidhaa ambazo zinakua zimekwisha na kwenda kufunga mahesabu. mara nyingi huwa sipatikani sehem husika mimi niki maliza kama ni asubuhi narudi zangu nyumbani kutulia mimi sio yule mtu wakujichanganya na watu sana. kwasababu situmii kilevi kwamba utanikuta bar nk .

mara moja moja huwa tunatoka wikend na wife, sasa hapa tulipopanga tuko wapangaji wa tatu na wote tuna wake japokua kwenye hawa wapangaji kuna jamaa mmoja na yeye anamke lakini na wao hawa jabahatika kupata mtoto. huyu mwingine ndio ana familia na wote (wanaume) huwa wanaamka nakusepa zao. nyumbani kunabaki wake zao sababu mke wangu na yeye nilimfungulia biashara yake ya duka la nguo, so mara nyingi akisha amka akafanya majukumu yake kama mwanamke nyumbani basi huondoka kwenda kwenye mihangaiko yake ya kila siku na huniacha nyumbani. na huwa nina kawaida natoka satatu natembelea biashara zangu na kuwajulia hali vijana basi kama hakuna tatizo na rudi zangu nyumbani kutulia na maisha yanaendelea.

sasa basi kutokana na maisha nimeyokua ninaishi hata hapa tulipopanga hakuna anaejua mimi na fanya kazi gani. wanaonaga ni salam na vijistory vya hapa na pale kama majirani basi sinaga mazoeya ya hovyo na mtu.

sasa leo wakati nimepita naelekea zangu biasharani kuna mama ni wamakamo kidogo na ni jirani yetu nyumba inayofuata ndio kanisimamisha baada yakumsalimia akawa ananipa story wanazokua wana mzungumzia wife hawa wanawake wa wapangaji wenzangu,

ya kwamba mke wangu ni mjinga haiwezekani mtoto mdogo kama yeye awe ndio anatunza mwanaume (mimi sasa) kwa kila kitu, anamvisha na kumlisha, eti mwanaume wake (mimi) hana kazi yupo yupo kazi ni kulala. hajishugurishi na mambo mengine kibao

nimeishia kucheka na nikamjibu yule mama. nikawaida acha waseme wanavyojua wao kwa sababu hakuna anaejua maisha yetu na tunaishije.

na hivi ndivyo ninavyo penda kuishi sipendi majilani wanijue kiundani zaidi

kama na wewe umeshawahi kukutana na wapangaji wafuatiliaji wa maisha yako kama mimi tena wake za watu weka maoni yako
Hizo story unazosemwa 90% ni kweli... mtoto wa miaka 26 umeoa, una viboashara sijui mwisho wa siku unarudi nyumbani asubuhi tu si kweli! Wewe ni Marioo.
 
Hiyo ni kawaida,kikubwa mind your business hamna mtu hasemwi kikubwa we ndo unajua maisha yako.
Yaani mpaka leo huwajui wanawake tena wanaokaa nyumbani bila kazi?

Sent from my HUAWEI MLA-AL10 using JamiiForums mobile app
 
elewa kwamba watu hatufanani aina ya maisha, labda unataka kufahamu nina jishugulisha na biashara gani na nina iendeshaje. kifupi mimi nimesha tega hata nisipo kuwepo ofisini mambo yanaenda. kaziyangu nikwenda kukusanya mzigo ukipungua au baadhi ya mahitaji yakiisha nitaleta utapangwa na nitawapangia bei. na usiku nikwenda kufunga mahesabu nakua nimemaliza

na kuhusu usimamizi nasimamia coz kilasiku lazima nitembelee site na kama kuna mapungufu nitajua tu.

na mambo si haba God is good

na kuhusu maneno ya mimi kulelewa hayo yatabaki kwenye kila mtazamo wakila mtu kutokana na vile atakavyo ona yeye. acha waje kushtuka siku nimehamia kwangu
Labda ubadilike,mwanaume kushinda nyumbani sio jambo la kawaida hata kama umeshatega tega sidhani kama kuna ofisi huwezi kutoka asubuhi alafu ukarudi mida ya sa kumi au sa kumi na moja,mwanamke ashinde kazini alafu we ushinde nyumbani
Ok na kwenye ofisi ya mkeo huwezi enda?

Sent from my HUAWEI MLA-AL10 using JamiiForums mobile app
 
hakuna unalojua kuhusu maisha yangu. kifupi hayo ndio maisha nilio chagua na nina yapenda. na kuhusu kuajiri vijana nitaendelea kuajiri kadri mungu atakapo endelea kunijaalia riziki
Ulivyoandika hii story inaonyesha wewe ni mwajiriwa wa huyo jamaa aliyekusimulia huu mkasa, ila ukaona uugeuze
 
Back
Top Bottom