Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nawe haujaelewa??[emoji23]Ukielewa unieleweshe na mie shogare
Nawe haujaelewa??[emoji23]
Basi hiki kitabu hakituhusu[emoji16]
elewa kwamba watu hatufanani aina ya maisha, labda unataka kufahamu nina jishugulisha na biashara gani na nina iendeshaje. kifupi mimi nimesha tega hata nisipo kuwepo ofisini mambo yanaenda. kaziyangu nikwenda kukusanya mzigo ukipungua au baadhi ya mahitaji yakiisha nitaleta utapangwa na nitawapangia bei. na usiku nikwenda kufunga mahesabu nakua nimemalizaHata mimi nimewahi kusemwa hivyo, lakini sikuwalaumu sababu hata mwenye nyumba ambaye tunaishi ndani ya uzio mmoja pamoja na kumwambia na kuniona kazini bado hajawahi kuamini.
Ila kwa wewe nahisi unalelewa kweli, mfanyabiashara hawezi kubaki nyumbani mchana kila siku. Mimi mwenyewe sibaki nyumbani daily ila tu mida yangu haieleweki, leo ntarudi home jioni, kesho narudi saa tatu asubuhi au saa saba.
Na ni kazi ya serikali so nikitega bado kiji-salary kipo palepale, sasa wewe mfanyabiashara ukitega si ndo basi tena? Hata kama umeajiri vijana bado wanahitaji usimamizi.
So, nahisi wanakuhisia sawasawa
Unajisikiaje kuwa unashinda nyumbani kila siku mkuu? Pamoja na kwamba una biashara zako zinazokuingizia kipato sawa, umetega hata usipokuwepo kazini bado biashara itafanyika nayo ni Sawa tuu.elewa kwamba watu hatufanani aina ya maisha, labda unataka kufahamu nina jishugulisha na biashara gani na nina iendeshaje. kifupi mimi nimesha tega hata nisipo kuwepo ofisini mambo yanaenda. kaziyangu nikwenda kukusanya mzigo ukipungua au baadhi ya mahitaji yakiisha nitaleta utapangwa na nitawapangia bei. na usiku nikwenda kufunga mahesabu nakua nimemaliza
Hata mimi nimewahi kusemwa hivyo, lakini sikuwalaumu sababu hata mwenye nyumba ambaye tunaishi ndani ya uzio mmoja pamoja na kumwambia na kuniona kazini bado hajawahi kuamini.
Ila kwa wewe nahisi unalelewa kweli, mfanyabiashara hawezi kubaki nyumbani mchana kila siku. Mimi mwenyewe sibaki nyumbani daily ila tu mida yangu haieleweki, leo ntarudi home jioni, kesho narudi saa tatu asubuhi au saa saba.
Na ni kazi ya serikali so nikitega bado kiji-salary kipo palepale, sasa wewe mfanyabiashara ukitega si ndo basi tena? Hata kama umeajiri vijana bado wanahitaji usimamizi.
So, nahisi wanakuhisia sawasawa
hakuna unalojua kuhusu maisha yangu. kifupi hayo ndio maisha nilio chagua na nina yapenda. na kuhusu kuajiri vijana nitaendelea kuajiri kadri mungu atakapo endelea kunijaalia rizikiMfanyabiashara mvivu huyu.
Yaani yeye hana kazi halafu anaajiri vijana. Why asijiajiri mwenyewe ili hela anazomlipa huyo kujana ajilipe mwenyewe kuliko kushinda nyumbani amelala kutwa nzima
😁😁😁 kaka haya maisha huwezi kumpangia mtu jinsi ya kuishi na kuhusu mke wangu mimi na yeye ndio tunajua tunavyo ishi. niwe napiga deki kupika au kumfulia chupi it's okay, ilimladi simtegemei mtu kuniendeshea maishaUnajisikiaje kuwa unashinda nyumbani kila siku mkuu? Pamoja na kwamba una biashara zako zinazokuingizia kipato sawa, umetega hata usipokuwepo kazini bado biashara itafanyika nayo ni Sawa tuu.
Lakini kumbuka nature ya mwanaume sio ya kushinda nyumbani kila siku hata kina MO wameajiri na pesa inaingia hata akitaka akae home milele but ana ofisi ambayo utamkuta huko.
Nilichotaka kusema ni kwamba wana haki ya kukusema koz sio kawaida kwa mwanaume kushinda nyumbani kila siku unless hana kazi kabisa.
Trust me hata mke wako atakuwa hayupo comfotable na hiyo hali ila hawezi kusema unless ukibaki home unamsaidia majukumu ya kudeki, kufua, kuosha vyombo au kupika hapo ndio hatajali sana .
tuko mzigoni kila siku mkuuTafuta hela mkuu
😆😆mkuu umejibu vizuri ila dunia ya sasa sio lazima mwanaume awe anatoka kila siku ili kutafuta...tena janga la covid ndio limefanya watu wengi wazoee kufanyia shughuli zao nyingi nyumbani...kuna wengi tu ambao wamegeuza baadhi ya vyumba nyumbani kama ofisi zao so wanashinda home na kupata kipato kizuri sana. Ninawafahamu watu wengi wanaofanyia kazi zao nyumbani na wanapata riziki nzuri sana kushinda wengi wanaotoka majumbani na kurudi usiku..muhimu ni kujitafutia riziki kihalali iwe ukiwa na shughuli zako nyumbani au nje ya unapoishi.Unajisikiaje kuwa unashinda nyumbani kila siku mkuu? Pamoja na kwamba una biashara zako zinazokuingizia kipato sawa, umetega hata usipokuwepo kazini bado biashara itafanyika nayo ni Sawa tuu.
Lakini kumbuka nature ya mwanaume sio ya kushinda nyumbani kila siku hata kina MO wameajiri na pesa inaingia hata akitaka akae home milele but ana ofisi ambayo utamkuta huko.
Nilichotaka kusema ni kwamba wana haki ya kukusema koz sio kawaida kwa mwanaume kushinda nyumbani kila siku unless hana kazi kabisa.
Trust me hata mke wako atakuwa hayupo comfotable na hiyo hali ila hawezi kusema unless ukibaki home unamsaidia majukumu ya kudeki, kufua, kuosha vyombo au kupika hapo ndio hatajali sana .
asante sana😆😆mkuu umejibu vizuri ila dunia ya sasa sio lazima mwanaume awe anatoka kila siku ili kutafuta...tena janga la covid ndio limefanya watu wengi wazoee kufanyia shughuli zao nyingi nyumbani...kuna wengi tu ambao wamegeuza baadhi ya vyumba nyumbani kama ofisi zao so wanashinda home na kupata kipato kizuri sana. Ninawafahamu watu wengi wanaofanyia kazi zao nyumbani na wanapata riziki nzuri sana kushinda wengi wanaotoka majumbani na kurudi usiku..muhimu ni kujitafutia riziki kihalali iwe ukiwa na shughuli zako nyumbani au nje ya unapoishi.
Umeleta bandiko lako public tegemea maoni tofautitofauti. Usitegemee wote tutawasema jirani zako hapana. Maana hata ningekuwa mimi ndio jirani yako halafu kila siku nakuona unashinda nyumbani mkeo anaenda kazini ningeshangaa hata kama hayanihusu. Sio nature yetu hiyo[emoji16][emoji16][emoji16] kaka haya maisha huwezi kumpangia mtu jinsi ya kuishi na kuhusu mke wangu mimi na yeye ndio tunajua tunavyo ishi. niwe napiga deki kupika au kumfulia chupi it's okay, ilimladi simtegemei mtu kuniendeshea maisha
Ni kweli kabisa lakini kwa nature yetu watanzania sijui niseme waafrika mambo ya working from home sio sana tofauti na wenzetu na ndio maana majirani wanashangaa na kuhisi mwamba analelewa.[emoji38][emoji38]mkuu umejibu vizuri ila dunia ya sasa sio lazima mwanaume awe anatoka kila siku ili kutafuta...tena janga la covid ndio limefanya watu wengi wazoee kufanyia shughuli zao nyingi nyumbani...kuna wengi tu ambao wamegeuza baadhi ya vyumba nyumbani kama ofisi zao so wanashinda home na kupata kipato kizuri sana. Ninawafahamu watu wengi wanaofanyia kazi zao nyumbani na wanapata riziki nzuri sana kushinda wengi wanaotoka majumbani na kurudi usiku..muhimu ni kujitafutia riziki kihalali iwe ukiwa na shughuli zako nyumbani au nje ya unapoishi.