Huyu mpenzi Hamna anachonipa jamani!!!!....

Huyu mpenzi Hamna anachonipa jamani!!!!....

cold water

JF-Expert Member
Joined
Oct 6, 2021
Posts
238
Reaction score
954
Niwape story kidogo,Mimi napenda sana wanaume wanaovutia, uyu mwanaume nilimpenda mwenyewe!!!! Kuna sehemu tulikua tunakutana kila siku ni sehemu ambayo Mimi nilikua nafanyia kazi, sasa kwenye iyo ofisi niliyokua nafanyia uyu kaka ambaye ni mpenzi wangu kwa sasa alikua anapenda sana kuja ofisini na gari kuja kumuona rafiki ake ambaye alikua work mate wangu.

Nasema alikua kwasababu nimeshahama kwenye icho kituo cha kazi nipo sehem nyingine, yaani ofisi nyingine na mkoa tofauti japo baby bado tunasukumana yaani bado tuna date, bwana eh uyu mkaka kama nilivyowaambia awali nilimpenda mwenyewe japo nae kwa story zake anasema alinipenda baada ya kufatilia kwa watu ambao nilikua nafanyanao kazi walimdanganya kua nimeolewa ivyo akakata tamaa hakuendelea kunifatilia tena mpaka Mimi nilipoona mbona hanitongozi kuamua kuomba No kwa rafiki ake ambaye ni work mate wangu

Mana alivyokua akifika ofisini nilikuwa namuoneshea dalili zote kua nampenda lakini nikawa naona kimya ikabidi nijizime data nimtafute ki stail,mambo yalikua ivi nikaomba namba kwa rafiki ake ambaye ni work mate wangu ni mkaka alikua,nikamwambia naomba No ya yule mkaka anayeingia ingia humu ofisini nina shida nae nikafanikiwa kupata No ,siku ile ile nikamcheki haloe Mimi yule mdada ninaefanya kazi ofisi anayofanyia rafiki ako respond yake ilikua na mzuka!!!

Hakuamini kama nimemtafuta ,sikumuambia kama nampenda nilivyomfatilia kwa rafiki ake niligundua kua ni MTU wa safari sana za dar na mikoa tofauti tofauti,nikapata style ya kumwambia samahani Mimi nataka niagize viatu vya kike nataka kuanza biashara,hapo sina cha mtaji wala nini nilitaka tu anizoee azidi kuona hisia zangu kwake,mkaka ni mzuri ana asili ya ushombe shombe,uarabu!!! Uarabu japo sio muharabu wala sio shombe shombe lakini ana sura ya kiarabu arabu!!!!!

Basi mwisho wa siku tukafanikisha Ku date haikuchukua ata siku mbili.mkaka akanielewa....sasa jamani kumbukeni uyu kaka alikua anafika na gari ofisini kumbe gari sio lake mi nikajua lake,nilivyomuulza rafiki ake uyu kaka anafanya kazi gani akaniambia engineer mi nikazidi kuchanganikiwa nae kumbe jamani ni dereva tu baada ya kumpeleleza mwenyewe kiundani, nikashindwa kumuacha kwasababu nilikua tayari nimeshapenda

Kila nikiangalia sura yake nasikia furaha sana moyoni, na kila alipofika ofisini nikimwangalia tu usoni lazima nitabasamu sasa jamani kila nikimuomba ela hana,infact kazi hana alipataga tu temporary iyo ya gari saizi yupo yupo tu anasubiri kazi serikalini za udereva lakini still nampenda lakini ela hana dah!!!!! Na kila siku namlazimisha anioe bado namuhitaji sana though nishajua ye ni dreva sio shida.tutapambana tu uko mbele,tuna mwaka mmoja na nusu kikubwa nataka anioe na kila siku namwambia nipelekee barua,ananiambia hadi apate kazi hana ela sasa jamani hadi nachoka!!!!! Anioe tu basi ata kama hana ela!!!!! Mi nimempenda ivyo ivyo na ukapuku wake....akanitolee iyo mahali yaishe.Na akifanya process nitawaambia mkiona kimya mjue Tu Hamna process yeyote aliyofanya mwarabu.
 
Niwape story kidogo,Mimi napenda sote kua nampenda lakini nikawa naona kimya ikabidi nijizime data nimtafute ki stail,mambo yalikua ivi nikaomba namba kwa rafiki ake ambaye ni work mate wangu ni mkaka alikua,nikamwambia naombamuhitaji sana though nishajua ye ni dreva sio shida.tutapambana tu uko mbele
Uandishi umefanya uzi uwe useless
 
Kama umempenda na hana helaa bhasi ni bora kuolewa na huyo kuliko kuolewa na usiempenda ila Ana helaa japo ndo za wasio na kitu siku hizii kwa tochi sana kuzipataaa..
 
Back
Top Bottom