Huyu mpenzi Hamna anachonipa jamani!!!!....

Niwape story kidogo,Mimi napenda sana wanaume wanaovutia, uyu mwanaume nilimpenda mwenyewe!!!! Kuna sehemu tulikua tunakutana kila siku ni sehemu ambayo Mimi nilikua nafanyia kazi, sasa kwenye iyo ofisi niliyokua nafanyia uyu kaka ambaye ni mpenzi wangu kwa sasa alikua anapenda sana kuja ofisini na gari kuja kumuona rafiki ake ambaye alikua work mate wangu.

Nasema alikua kwasababu nimeshahama kwenye icho kituo cha kazi nipo sehem nyingine, yaani ofisi nyingine na mkoa tofauti japo baby bado tunasukumana yaani bado tuna date, bwana eh uyu mkaka kama nilivyowaambia awali nilimpenda mwenyewe japo nae kwa story zake anasema alinipenda baada ya kufatilia kwa watu ambao nilikua nafanyanao kazi walimdanganya kua nimeolewa ivyo akakata tamaa hakuendelea kunifatilia tena mpaka Mimi nilipoona mbona hanitongozi kuamua kuomba No kwa rafiki ake ambaye ni work mate wangu

Mana alivyokua akifika ofisini nilikuwa namuoneshea dalili zote kua nampenda lakini nikawa naona kimya ikabidi nijizime data nimtafute ki stail,mambo yalikua ivi nikaomba namba kwa rafiki ake ambaye ni work mate wangu ni mkaka alikua,nikamwambia naomba No ya yule mkaka anayeingia ingia humu ofisini nina shida nae nikafanikiwa kupata No ,siku ile ile nikamcheki haloe Mimi yule mdada ninaefanya kazi ofisi anayofanyia rafiki ako respond yake ilikua na mzuka!!!

Hakuamini kama nimemtafuta ,sikumuambia kama nampenda nilivyomfatilia kwa rafiki ake niligundua kua ni MTU wa safari sana za dar na mikoa tofauti tofauti,nikapata style ya kumwambia samahani Mimi nataka niagize viatu vya kike nataka kuanza biashara,hapo sina cha mtaji wala nini nilitaka tu anizoee azidi kuona hisia zangu kwake,mkaka ni mzuri ana asili ya ushombe shombe,uarabu!!! Uarabu japo sio muharabu wala sio shombe shombe lakini ana sura ya kiarabu arabu!!!!!

Basi mwisho wa siku tukafanikisha Ku date haikuchukua ata siku mbili.mkaka akanielewa....sasa jamani kumbukeni uyu kaka alikua anafika na gari ofisini kumbe gari sio lake mi nikajua lake,nilivyomuulza rafiki ake uyu kaka anafanya kazi gani akaniambia engineer mi nikazidi kuchanganikiwa nae kumbe jamani ni dereva tu baada ya kumpeleleza mwenyewe kiundani, nikashindwa kumuacha kwasababu nilikua tayari nimeshapenda

Kila nikiangalia sura yake nasikia furaha sana moyoni, na kila alipofika ofisini nikimwangalia tu usoni lazima nitabasamu sasa jamani kila nikimuomba ela hana,infact kazi hana alipataga tu temporary iyo ya gari saizi yupo yupo tu anasubiri kazi serialini za udereva lakini still nampenda lakini ela hana dah!!!!! Na kila siku namlazimisha anioe bado namuhitaji sana though nishajua ye ni dreva sio shida.tutapambana tu uko mbele,tuna mwaka mmoja na nusu kikubwa nataka anioe na kila siku namwambia nipelekee barua,ananiambia hadi apate kazi hana ela sasa jamani hadi nachoka!!!!! Anioe tu basi ata kama hana ela!!!!! Mi nimempenda ivyo ivyo na ukapuku wake....akanitolee iyo mahali yaishe.
Pole sisi wenye sura ngumu hamtupendi Huwa tua Hela halu tunajali na kupenda
 
Ananip
Kama anakusukuma inatosha usiseme hakupi kitu. Kikubwa na yeye akupende usijipendekeze kisa kisa ana mvuto uliousema "Mwarabu flani hivi" [emoji23][emoji23]

Sent from my SM-A045F using JamiiForums mobile app
Ananipenda kanitambulisha hadi kwa ndugu zake Dada zake na kaka zake wananifahamu pia.
 
Niwape story kidogo,Mimi napenda sana wanaume wanaovutia, uyu mwanaume nilimpenda mwenyewe!!!! Kuna sehemu tulikua tunakutana kila siku ni sehemu ambayo Mimi nilikua nafanyia kazi, sasa kwenye iyo ofisi niliyokua nafanyia uyu kaka ambaye ni mpenzi wangu kwa sasa alikua anapenda sana kuja ofisini na gari kuja kumuona rafiki ake ambaye alikua work mate wangu.

Nasema alikua kwasababu nimeshahama kwenye icho kituo cha kazi nipo sehem nyingine, yaani ofisi nyingine na mkoa tofauti japo baby bado tunasukumana yaani bado tuna date, bwana eh uyu mkaka kama nilivyowaambia awali nilimpenda mwenyewe japo nae kwa story zake anasema alinipenda baada ya kufatilia kwa watu ambao nilikua nafanyanao kazi walimdanganya kua nimeolewa ivyo akakata tamaa hakuendelea kunifatilia tena mpaka Mimi nilipoona mbona hanitongozi kuamua kuomba No kwa rafiki ake ambaye ni work mate wangu

Mana alivyokua akifika ofisini nilikuwa namuoneshea dalili zote kua nampenda lakini nikawa naona kimya ikabidi nijizime data nimtafute ki stail,mambo yalikua ivi nikaomba namba kwa rafiki ake ambaye ni work mate wangu ni mkaka alikua,nikamwambia naomba No ya yule mkaka anayeingia ingia humu ofisini nina shida nae nikafanikiwa kupata No ,siku ile ile nikamcheki haloe Mimi yule mdada ninaefanya kazi ofisi anayofanyia rafiki ako respond yake ilikua na mzuka!!!

Hakuamini kama nimemtafuta ,sikumuambia kama nampenda nilivyomfatilia kwa rafiki ake niligundua kua ni MTU wa safari sana za dar na mikoa tofauti tofauti,nikapata style ya kumwambia samahani Mimi nataka niagize viatu vya kike nataka kuanza biashara,hapo sina cha mtaji wala nini nilitaka tu anizoee azidi kuona hisia zangu kwake,mkaka ni mzuri ana asili ya ushombe shombe,uarabu!!! Uarabu japo sio muharabu wala sio shombe shombe lakini ana sura ya kiarabu arabu!!!!!

Basi mwisho wa siku tukafanikisha Ku date haikuchukua ata siku mbili.mkaka akanielewa....sasa jamani kumbukeni uyu kaka alikua anafika na gari ofisini kumbe gari sio lake mi nikajua lake,nilivyomuulza rafiki ake uyu kaka anafanya kazi gani akaniambia engineer mi nikazidi kuchanganikiwa nae kumbe jamani ni dereva tu baada ya kumpeleleza mwenyewe kiundani, nikashindwa kumuacha kwasababu nilikua tayari nimeshapenda

Kila nikiangalia sura yake nasikia furaha sana moyoni, na kila alipofika ofisini nikimwangalia tu usoni lazima nitabasamu sasa jamani kila nikimuomba ela hana,infact kazi hana alipataga tu temporary iyo ya gari saizi yupo yupo tu anasubiri kazi serialini za udereva lakini still nampenda lakini ela hana dah!!!!! Na kila siku namlazimisha anioe bado namuhitaji sana though nishajua ye ni dreva sio shida.tutapambana tu uko mbele,tuna mwaka mmoja na nusu kikubwa nataka anioe na kila siku namwambia nipelekee barua,ananiambia hadi apate kazi hana ela sasa jamani hadi nachoka!!!!! Anioe tu basi ata kama hana ela!!!!! Mi nimempenda ivyo ivyo na ukapuku wake....akanitolee iyo mahali yaishe.Na akifanya process nitawaambia mkiona kimya mjue Tu Hamna process yeyote aliyofanya mwarabu.
"Kaka mwarabu"?"I'm black man" in TID voice
 
Ushaliwa,,,,...hongera kwa baharia
 
Kwa sasa Mpeane tu hivyo vidudu inatosha vijana,vingine mtapeana huko mbele ya safari
 
Wenzako wanatafuta mwanaume mwenye kazi inayomuingizia kipato na mpambanaji. Hongera!
Kwanini uki-date na mwanamke lazima akuombe hela?
 
Ushaliwa,,,,...hongera kwa baharia
Halafu kesho watu wakijulikana majina yao halisi unasikia wanalalamika ''ohoo kuna mod anauza mechi''. Dume linajifanya ni jike linalinajifanya kulia lia hivi kumbe limetega mingo!
 
Aah watajijua wenyewe uzuri sie sio watu wa pm
 
,ananiambia hadi apate kazi hana ela sasa jamani hadi nachoka!!!!! Anioe tu basi ata kama hana ela!!!!! Mi nimempenda ivyo ivyo na ukapuku wake....akanitolee iyo mahali yaishe.Na akifanya process nitawaambia mkiona kimya mjue Tu Hamna process yeyote aliyofanya mwarabu.
Mkalishe chini, Mjengee hoja, Mpe mbinu nini kifanyike, na atafanikiwa kukutolea hiyo mhali.
 
Niwape story kidogo,Mimi napenda sana wanaume wanaovutia, uyu mwanaume nilimpenda mwenyewe!!!! Kuna sehemu tulikua tunakutana kila siku ni sehemu ambayo Mimi nilikua nafanyia kazi, sasa kwenye iyo ofisi niliyokua nafanyia uyu kaka ambaye ni mpenzi wangu kwa sasa alikua anapenda sana kuja ofisini na gari kuja kumuona rafiki ake ambaye alikua work mate wangu.

Nasema alikua kwasababu nimeshahama kwenye icho kituo cha kazi nipo sehem nyingine, yaani ofisi nyingine na mkoa tofauti japo baby bado tunasukumana yaani bado tuna date, bwana eh uyu mkaka kama nilivyowaambia awali nilimpenda mwenyewe japo nae kwa story zake anasema alinipenda baada ya kufatilia kwa watu ambao nilikua nafanyanao kazi walimdanganya kua nimeolewa ivyo akakata tamaa hakuendelea kunifatilia tena mpaka Mimi nilipoona mbona hanitongozi kuamua kuomba No kwa rafiki ake ambaye ni work mate wangu

Mana alivyokua akifika ofisini nilikuwa namuoneshea dalili zote kua nampenda lakini nikawa naona kimya ikabidi nijizime data nimtafute ki stail,mambo yalikua ivi nikaomba namba kwa rafiki ake ambaye ni work mate wangu ni mkaka alikua,nikamwambia naomba No ya yule mkaka anayeingia ingia humu ofisini nina shida nae nikafanikiwa kupata No ,siku ile ile nikamcheki haloe Mimi yule mdada ninaefanya kazi ofisi anayofanyia rafiki ako respond yake ilikua na mzuka!!!

Hakuamini kama nimemtafuta ,sikumuambia kama nampenda nilivyomfatilia kwa rafiki ake niligundua kua ni MTU wa safari sana za dar na mikoa tofauti tofauti,nikapata style ya kumwambia samahani Mimi nataka niagize viatu vya kike nataka kuanza biashara,hapo sina cha mtaji wala nini nilitaka tu anizoee azidi kuona hisia zangu kwake,mkaka ni mzuri ana asili ya ushombe shombe,uarabu!!! Uarabu japo sio muharabu wala sio shombe shombe lakini ana sura ya kiarabu arabu!!!!!

Basi mwisho wa siku tukafanikisha Ku date haikuchukua ata siku mbili.mkaka akanielewa....sasa jamani kumbukeni uyu kaka alikua anafika na gari ofisini kumbe gari sio lake mi nikajua lake,nilivyomuulza rafiki ake uyu kaka anafanya kazi gani akaniambia engineer mi nikazidi kuchanganikiwa nae kumbe jamani ni dereva tu baada ya kumpeleleza mwenyewe kiundani, nikashindwa kumuacha kwasababu nilikua tayari nimeshapenda

Kila nikiangalia sura yake nasikia furaha sana moyoni, na kila alipofika ofisini nikimwangalia tu usoni lazima nitabasamu sasa jamani kila nikimuomba ela hana,infact kazi hana alipataga tu temporary iyo ya gari saizi yupo yupo tu anasubiri kazi serikalini za udereva lakini still nampenda lakini ela hana dah!!!!! Na kila siku namlazimisha anioe bado namuhitaji sana though nishajua ye ni dreva sio shida.tutapambana tu uko mbele,tuna mwaka mmoja na nusu kikubwa nataka anioe na kila siku namwambia nipelekee barua,ananiambia hadi apate kazi hana ela sasa jamani hadi nachoka!!!!! Anioe tu basi ata kama hana ela!!!!! Mi nimempenda ivyo ivyo na ukapuku wake....akanitolee iyo mahali yaishe.Na akifanya process nitawaambia mkiona kimya mjue Tu Hamna process yeyote aliyofanya mwarabu.
Sijui umetujulisha ukihitaji mawazo ya aina gani kutoka kwa jumuiya ya wana JF. Je tujue tu kuwa una furaha kuwa na dereva mwarabu maana si kwa kuitaka ndoa hivyo kwa nguvu🤣🤣
 
Pesa zinatafutwa ukiona umempenda na una furaha jua moyo wako ndio unataka na unafurahia
 
Tega akukojolee mimba then fasta atapeleka mahali, hakuna mwanaume anapenda mtoto ake azaliwe nje ya ndoa
 
Niwape story kidogo,Mimi napenda sana wanaume wanaovutia, uyu mwanaume nilimpenda mwenyewe!!!! Kuna sehemu tulikua tunakutana kila siku ni sehemu ambayo Mimi nilikua nafanyia kazi, sasa kwenye iyo ofisi niliyokua nafanyia uyu kaka ambaye ni mpenzi wangu kwa sasa alikua anapenda sana kuja ofisini na gari kuja kumuona rafiki ake ambaye alikua work mate wangu.

Nasema alikua kwasababu nimeshahama kwenye icho kituo cha kazi nipo sehem nyingine, yaani ofisi nyingine na mkoa tofauti japo baby bado tunasukumana yaani bado tuna date, bwana eh uyu mkaka kama nilivyowaambia awali nilimpenda mwenyewe japo nae kwa story zake anasema alinipenda baada ya kufatilia kwa watu ambao nilikua nafanyanao kazi walimdanganya kua nimeolewa ivyo akakata tamaa hakuendelea kunifatilia tena mpaka Mimi nilipoona mbona hanitongozi kuamua kuomba No kwa rafiki ake ambaye ni work mate wangu

Mana alivyokua akifika ofisini nilikuwa namuoneshea dalili zote kua nampenda lakini nikawa naona kimya ikabidi nijizime data nimtafute ki stail,mambo yalikua ivi nikaomba namba kwa rafiki ake ambaye ni work mate wangu ni mkaka alikua,nikamwambia naomba No ya yule mkaka anayeingia ingia humu ofisini nina shida nae nikafanikiwa kupata No ,siku ile ile nikamcheki haloe Mimi yule mdada ninaefanya kazi ofisi anayofanyia rafiki ako respond yake ilikua na mzuka!!!

Hakuamini kama nimemtafuta ,sikumuambia kama nampenda nilivyomfatilia kwa rafiki ake niligundua kua ni MTU wa safari sana za dar na mikoa tofauti tofauti,nikapata style ya kumwambia samahani Mimi nataka niagize viatu vya kike nataka kuanza biashara,hapo sina cha mtaji wala nini nilitaka tu anizoee azidi kuona hisia zangu kwake,mkaka ni mzuri ana asili ya ushombe shombe,uarabu!!! Uarabu japo sio muharabu wala sio shombe shombe lakini ana sura ya kiarabu arabu!!!!!

Basi mwisho wa siku tukafanikisha Ku date haikuchukua ata siku mbili.mkaka akanielewa....sasa jamani kumbukeni uyu kaka alikua anafika na gari ofisini kumbe gari sio lake mi nikajua lake,nilivyomuulza rafiki ake uyu kaka anafanya kazi gani akaniambia engineer mi nikazidi kuchanganikiwa nae kumbe jamani ni dereva tu baada ya kumpeleleza mwenyewe kiundani, nikashindwa kumuacha kwasababu nilikua tayari nimeshapenda

Kila nikiangalia sura yake nasikia furaha sana moyoni, na kila alipofika ofisini nikimwangalia tu usoni lazima nitabasamu sasa jamani kila nikimuomba ela hana,infact kazi hana alipataga tu temporary iyo ya gari saizi yupo yupo tu anasubiri kazi serikalini za udereva lakini still nampenda lakini ela hana dah!!!!! Na kila siku namlazimisha anioe bado namuhitaji sana though nishajua ye ni dreva sio shida.tutapambana tu uko mbele,tuna mwaka mmoja na nusu kikubwa nataka anioe na kila siku namwambia nipelekee barua,ananiambia hadi apate kazi hana ela sasa jamani hadi nachoka!!!!! Anioe tu basi ata kama hana ela!!!!! Mi nimempenda ivyo ivyo na ukapuku wake....akanitolee iyo mahali yaishe.Na akifanya process nitawaambia mkiona kimya mjue Tu Hamna process yeyote aliyofanya mwarabu.
Kutongoza Mwanaume ni hatari mbeleni
 
Mpika chai mkuu wa JFs what a wasted sperm
 
Back
Top Bottom