Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Dada umechizika wewe si ulipenda ushombeshombe !Niwape story kidogo,Mimi napenda sana wanaume wanaovutia,uyu mwanaume nilimpenda mwenyewe!!!! Kuna sehem o namuhitaji sana though nishajua ye ni dreva sio shida.tutapambana tu uko mbele
Lakini sio mwarabu wala shombe shombe😂Leta maneno....."kaka mwarabu"
HUNA AKILI.Niwape story kidogo,Mimi napenda sana wanaume wanaovutia,uyu mwanaume nilimpenda mwenyewe!!!! Kuna sehem
Utakuta shemegi ni mwarabu wa iramba.....Lakini sio mwarabu wala shombe shombe😂
Dada cold water utazunguka na mama kwenye kampeni, unajua kusifia sana.
Ndugu yake wafedha 😂Utakuta shemegi ni mwarabu wa iramba.....
Endelea kumvumilia. Kesho njema yaja. Fanya maombi sana Ridhiki zifunguke kwa wakatNiwape story kidogo,Mimi napenda sana wanaume wanaovutia,uyu mwanaume nilimpenda mwenyewe!!!! Kuna sehem tulikua tunakutana kila siku sehem ambayo Mimi nilikua nafanyia kazi,sasa kwenye iyo ofisi niliyokua nafanyia uyu kaka anioe bado namuhitaji sana though nishajua ye ni dreva sio shida.tutapambana tu uko mbele
Pole , tatizo lako ulimpenda kwa sababu ya gari, kumbe gari wala siyo la kwakeNiwape story kidogo,Mimi napenda sana wanaume wanaovutia,uyu mwanaume nilimpenda mwenyewe!!!! Kuna sehem tulikua tunakutana kila siku sehem ambayo Mimi nilikua nafanyia kazi,sasa kwenye iyo ofisi niliyokua nafanyia uyu kaka a anioe bado namuhitaji sana though nishajua ye ni dreva sio shida.tutapambana tu uko mbele
Bodo hujasema, na baaado mpaka useme, lkn kwa undani zaidi naona hata ww huna cha kumpaNiwape story kidogo,Mimi napenda sana wanaume wanaovutia,uyu mwanaume nilimpenda mwenyewe!!!! Kuna sehem tulikua tunakutana kila siku sehem ambayo Mimi nilikua nafanyia kazi,sasa kwenye iyo ofisi niliyokua nafanyia uyu kaka a
😁😁😁😁😁Tusibirie tu ila mwandiko umekaa kama wa mwamba ,mbabu mwenye kipara 🤔🤔🤔