Huyu mpenzi Hamna anachonipa jamani!!!!....

Pole sisi wenye sura ngumu hamtupendi Huwa tua Hela halu tunajali na kupenda
 
Ananip
Kama anakusukuma inatosha usiseme hakupi kitu. Kikubwa na yeye akupende usijipendekeze kisa kisa ana mvuto uliousema "Mwarabu flani hivi" [emoji23][emoji23]

Sent from my SM-A045F using JamiiForums mobile app
Ananipenda kanitambulisha hadi kwa ndugu zake Dada zake na kaka zake wananifahamu pia.
 
"Kaka mwarabu"?"I'm black man" in TID voice
 
Ushaliwa,,,,...hongera kwa baharia
 
Kwa sasa Mpeane tu hivyo vidudu inatosha vijana,vingine mtapeana huko mbele ya safari
 
Wenzako wanatafuta mwanaume mwenye kazi inayomuingizia kipato na mpambanaji. Hongera!
Kwanini uki-date na mwanamke lazima akuombe hela?
 
Ushaliwa,,,,...hongera kwa baharia
Halafu kesho watu wakijulikana majina yao halisi unasikia wanalalamika ''ohoo kuna mod anauza mechi''. Dume linajifanya ni jike linalinajifanya kulia lia hivi kumbe limetega mingo!
 
Halafu kesho watu wakijulikana majina yao halisi unasikia wanalalamika ''ohoo kuna mod anauza mechi''. Dume linajifanya ni jike linalinajifanya kulia lia hivi kumbe limetega mingo!
Aah watajijua wenyewe uzuri sie sio watu wa pm
 
Mkalishe chini, Mjengee hoja, Mpe mbinu nini kifanyike, na atafanikiwa kukutolea hiyo mhali.
 
Sijui umetujulisha ukihitaji mawazo ya aina gani kutoka kwa jumuiya ya wana JF. Je tujue tu kuwa una furaha kuwa na dereva mwarabu maana si kwa kuitaka ndoa hivyo kwa nguvu🤣🤣
 
Pesa zinatafutwa ukiona umempenda na una furaha jua moyo wako ndio unataka na unafurahia
 
Tega akukojolee mimba then fasta atapeleka mahali, hakuna mwanaume anapenda mtoto ake azaliwe nje ya ndoa
 
Kutongoza Mwanaume ni hatari mbeleni
 
Mpika chai mkuu wa JFs what a wasted sperm
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…