Huyu mpenzi Hamna anachonipa jamani!!!!....

nilivyomuulza rafiki ake uyu kaka anafanya kazi gani akaniambia engineer mi nikazidi kuchanganikiwa nae
Ulivyouliza kwa mshkaji akakwambia jamaa ni engineer πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€... wahuni sio watu
 
Wanawake ni viumbe mliowahi kuzungumza na shetani moja Kwa moja na nahisi mlikubaliana kuwa lazima mwanaume akupe hela ndio umpe papuchi, haiwezekani mtu hana kazi lakini unataka hela kutoka kwake Sasa akatoe wapi unataka aibe au? halafu bila aibu unataka hela kutoka Kwa jobless na wewe ni muajiriwa
 
Wewe fuata moyo wako Kuna siku mungu atamfungulia milango ridhiki
 
Kichwa cha habari na maelezo = vitu viwili tofauti!
Shida yako kuolewa au jamaa kutokuwa na kitu!? Akikuoa atakuwa bichwa tupu kama wewe.
 
Siku hzi maisha yamekua nyuumaa geuka.. mabinti wana fosi kuolewa siku hizi πŸ˜€πŸ˜€
 
Teheeeeee I like your style
 
Kuingia mapenzini kwa kufuata uzuri na njaa ni janga kubwa kwa dada zetu haya dada tega tako sindano ikuingie kwa shombe shombe injinia dereva
 
Duuh
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…