MtotoKautaka
JF-Expert Member
- Jul 16, 2018
- 373
- 895
Wazee siongei sana lakini kifupi huyu ni mpenzi wangu anafanya kazi ofisi flani hapa mjini ni kampuni binafsi.
Mpka tunakubaliana kuanza mahusiano sikujua kama ni afisa ubashiri mbobezi (mbetiji) sasa tuna kama miezi kadhaa wazee huyu mtu anabet ni mwisho na anakula sometimes mikeka inachanika, jana mkeka wake wa mil 18 umechanwa na mechi mbili ivory coast na Switzerland kapigwa na Serbia.
Mikeka anatengeneza mwenyewe na anajua jinsi ya kufanya analysis. Nimemshauri aache kwan hata mimi nishaacha kubet siyo kazi ya kufanya lakini kasema ni ngumu kuacha Kwa yeye kwani kaanza kitambo kala nyingi na kaliwa pia.