Huyu mpenzi wangu ni noma

Huyu mpenzi wangu ni noma

Wazee siongei sana lakini kifupi huyu ni mpenzi wangu anafanya kazi ofisi flani hapa mjini ni kampuni binafsi.

Mpka tunakubaliana kuanza mahusiano sikujua kama ni afisa ubashiri mbobezi (mbetiji) sasa tuna kama miezi kadhaa wazee huyu mtu anabet ni mwisho na anakula sometimes mikeka inachanika, jana mkeka wake wa mil 18 umechanwa na mechi mbili ivory coast na Switzerland kapigwa na Serbia.

Mikeka anatengeneza mwenyewe na anajua jinsi ya kufanya analysis. Nimemshauri aache kwan hata mimi nishaacha kubet siyo kazi ya kufanya lakini kasema ni ngumu kuacha Kwa yeye kwani kaanza kitambo kala nyingi na kaliwa pia. View attachment 3153532
🤣🤣😅
 
Kuna wakati bora kuwa na mwanamke mwenye kujitoa akili kama huyu yani utaishi nae kisela sana mtadumu kuliko mwanamke anaejifanya ana nidhamu
 
Wazee siongei sana lakini kifupi huyu ni mpenzi wangu anafanya kazi ofisi flani hapa mjini ni kampuni binafsi.

Mpka tunakubaliana kuanza mahusiano sikujua kama ni afisa ubashiri mbobezi (mbetiji) sasa tuna kama miezi kadhaa wazee huyu mtu anabet ni mwisho na anakula sometimes mikeka inachanika, jana mkeka wake wa mil 18 umechanwa na mechi mbili ivory coast na Switzerland kapigwa na Serbia.

Mikeka anatengeneza mwenyewe na anajua jinsi ya kufanya analysis. Nimemshauri aache kwan hata mimi nishaacha kubet siyo kazi ya kufanya lakini kasema ni ngumu kuacha Kwa yeye kwani kaanza kitambo kala nyingi na kaliwa pia. View attachment 3153532
Wewe ni KE au ME ?
 
Back
Top Bottom