Hashpower7113
JF-Expert Member
- Sep 26, 2011
- 1,353
- 2,142
- Thread starter
- #21
Mkuu una ajenda zako za siri, usije ukaingia kwenye mtego wa shambulio la aibu ukaburuzwa centralAmebarikiwa yote ila angeimba huku kasimama ingekua vyema zaid
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu una ajenda zako za siri, usije ukaingia kwenye mtego wa shambulio la aibu ukaburuzwa centralAmebarikiwa yote ila angeimba huku kasimama ingekua vyema zaid
Vip si asimame tuone kama anajua na kucheza?
Hapana mkuu nataka kujua kama kucheza nako yuko vzur ama lahMkuu una ajenda zako za siri, usije ukaingia kwenye mtego wa shambulio la aibu ukaburuzwa central
Teheteheteheee....!!!Kichwa chake kina misuli kama yule mdogo wake Alikiba.
Kaimba vizuri.
Hapana mkuu nataka kujua kama kucheza nako yuko vzur ama lah
Vip si asimame tuone kama anajua na kucheza?
Umewaza MbaliiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiKhaaaaa
ha hahahaMkuu kuwa na manzi ambaye yupo kwenye lime-light, halafu mkaree ni zaidi ya kumiliki shamba la miwa jirani na shule
Bas sawa MkuuNimempenda.
Ni mtazamo MkuuPretty lady!
Lakini uimbaji bado sana, hamna pumzi kabisa!
Hakuna namnaKwa kweli lazma achapwe
Mkuu ile chupi iwapo muhusika(nandy) akaamua kuiandalia mnada,atapiga pesa ndefu sana,ni dada ajaribu kujiongeza kwa hii fursa,aiweke mnadani ile kitu apige helaWAKUU MWENYE KUJUA MARKET VALUE YA ILE CHUPI YA MREMBO NANDY KIVURUGE AKUJA MAHALI HAPA
Urembo wake uko wapi? Haushitushi huo urembo.Wakuu, heshima kwenu! Katika pitapita yangu kwenye mitandao ya kijamii, nimekutana na huyu mrembo, jina lake anaitwa Precious Mary akiwa amefanya cover ya wimbo wa msanii wa muziki wa kizazi kipya, Diamond Platnumz akiwa na Omarion, African Beauty.
Nikiri kwamba sijawahi kusikia habari zake mahali popote lakini baada ya kuiona cover hiyo, nimeshawishika kuamini kwamba endapo Simba naye ataiona, hawezi kumuacha mwanadada huyu hivihivi!
Ukiachilia mbali sauti yenye uwezo wa 'kumtoa nyoka pangoni', huyu msichana ni mrembo wa haja na anajua pozi za kucheza na kamera. Enyi wafuasi wa Simba, hebu muonesheni bosi wenu hii cover ili afanye mambo kwa huyu mrembo.
Ni matumaini yangu na natoa RAI kwamba mambo atakayoyafanya Simba, yatahusiana na kumnyanyua mrembo huyu kisanii ili kesho na keshokutwa naye aje kuwa icon mkubwa katika muziki huu wa Bongo Fleva na si vinginevyo.
Wasalaam!
Hisia zangu zinanituma wewe ndio huyo dada, unajipigia promo ili Diamond akugonge. Ila uzuri Mond sio mchoyo[emoji16]Mkuu na wewe unanipigia debe la nguvu 😀😀