Equation x
JF-Expert Member
- Sep 3, 2017
- 33,679
- 49,841
- Thread starter
- #21
Kwenye tafiti, huwa kuna majibu huwa tunajitengenezea ili kwenda kupima uhalisia/ kuthibitishaKumbe una suluhisho? Kila la heri.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwenye tafiti, huwa kuna majibu huwa tunajitengenezea ili kwenda kupima uhalisia/ kuthibitishaKumbe una suluhisho? Kila la heri.
Nitakupa code kamandaWkend inakaribia kuanza, una mia ya karibu hapo?
Huyu.mtoto aliyezaliwa sio wa kwakoKuna memba humu wa kike miaka ya 2017 nilifakiwa kudate na huyu memba tukiwa mkoa wa Geita mpaka akapata mimba sasa kimbembe baada ya kujifungua huyu memba maarufu wa JF hataki kabsa kuniona wala hataki kabsa kuwasiliana naye hii case inafanana ya ya mtoa mada hapo juu. Je naweza kufungua kesi mahakamani ya kudhurumiwa mtoto na huyu memba wa JF?
Sent using Jamii Forums mobile app
Ebu pata supu ya maboga hapo kwa mama ntilieMkuu acha shobo kama unaumia kupoteza hizo mbegu mbili,je zile ulizopoteza Kwa nyeto tuiteje?Mauaji ya kimbari ama?
Ubongo una mishipa mingapi ya damu?Nonsense [emoji706]
Kwanza una uhakika na mambo hayaWakuu habari za jioni?
Kuna mdada mmoja nilimpenda sana, nikafa nikaoza; nilikuwa tayari nilale njaa ili tu yeye aweze kufurahi.
Mahusiano yangu naye, yalikuwa na changamoto sana, huna hela lazima mkorofishane au mtafute sababu mbili tatu mzinguane.
Nikajifanya mjinga ili nitundike ki-zygote, nikiamini atabadilika huko mbeleni.
Katika harakati zangu za kupambana ili apate ki-zygote, kumbe nayeye kwa upande wake alikuwa akipambana na kutumia vitu vya kiimani (nabii) ili iweze kunasa bila mimi kujua.
Kutokana na ujuzi na shabaha, kitu kikanasa; mtoto akaanza kudeka, na katika kudeka kwake kukaleta athari kwenye uchumi; ikanibidi baadhi ya mahitaji yasiyo ya lazima nayafyekelea mbali.
Ile ilimpelekea kidogo kuwa na hasira, na kuniambia nifute namba yake; nami nilitii, ingawa nilisema kwa sababu ana kiumbe changu huko mbeleni nitakiitaji.
Sasa leo nimeamua kumchokoza kwa kumuuliza, vipi maendeleo ya kiumbe changu; kidogo akawa mkali na kusema sitakiwi kujua maendeleo yake.
Nikamwambia akizaliwa na akawa amechukua sura ya baba (yangu) namchukua; hapo ndipo akawa mkali zaidi, na kusema ukitaka maisha yako yawe mafupi uje ufanye hivyo.
Sasa hapa natafakari, naona kama vile mbegu yangu imepotea; na kwa kawaida, mbegu yoyote nzuri ni gharama, kwa nini yeye awe amejipatia bure?
Wakuu, leteni ushauri.
Ni kweli, hapa ni kusubiria mtoto aonekane kwanzaKwanza una uhakika na mambo haya
1. Ni kweli ana mimba??
2. Una uhakika mimba ni yako??
3. Tulia kabisa kama unanyolewa m.....
Nahisi wewe huwajuw wanawake vzr, ukiona una manzi hlf mkigombana tu kidogo anakimbilia kutaka muachane badala ya suruhisho, Kaa chini tafakari hapo huna chako.
Mwanamke awali umeishi naye poa kwa shida shida hlf leo amepata mimba ndiyo anakwambia muachane, jiongezee mkuu.
Na umefuta namba hakutafuti wala hana shobo na wewe juwa hiyo mimba kama kweli ipo basi kapewa mwingine.
LAKINI SIKIO LA KUFA HALISIKII DAWA, HIVYO UTUPE MREJESHO BAADA YA KUJIFUNGUA.
Kakudanganya nani...😄😄Kifaranga kina umuhimu huko uzeeni 😀😀
Leta kesi hapa hapa JF ni ulimwengu kamili Kuna mahakimu na wanasheria humu ,mi nitakuwa lawyer wakoKuna memba humu wa kike miaka ya 2017 nilifakiwa kudate na huyu memba tukiwa mkoa wa Geita mpaka akapata mimba sasa kimbembe baada ya kujifungua huyu memba maarufu wa JF hataki kabsa kuniona wala hataki kabsa kuwasiliana naye hii case inafanana ya ya mtoa mada hapo juu. Je naweza kufungua kesi mahakamani ya kudhurumiwa mtoto na huyu memba wa JF?
Sent using Jamii Forums mobile app
FactKwanza una uhakika na mambo haya
1. Ni kweli ana mimba??
2. Una uhakika mimba ni yako??
3. Tulia kabisa kama unanyolewa m.....
Nahisi wewe huwajuw wanawake vzr, ukiona una manzi hlf mkigombana tu kidogo anakimbilia kutaka muachane badala ya suruhisho, Kaa chini tafakari hapo huna chako.
Mwanamke awali umeishi naye poa kwa shida shida hlf leo amepata mimba ndiyo anakwambia muachane, jiongezee mkuu.
Na umefuta namba hakutafuti wala hana shobo na wewe juwa hiyo mimba kama kweli ipo basi kapewa mwingine.
LAKINI SIKIO LA KUFA HALISIKII DAWA, HIVYO UTUPE MREJESHO BAADA YA KUJIFUNGUA.
Noma sana sema mamanzi wanakukubali sana kukubebea mimba tu huna mpinzani hapa jf 🤣
Cc Equation xAtakua na mtonyo
Tuma picha yako tuoneWakuu habari za jioni?
Kuna mdada mmoja nilimpenda sana, nikafa nikaoza; nilikuwa tayari nilale njaa ili tu yeye aweze kufurahi.
Mahusiano yangu naye, yalikuwa na changamoto sana, huna hela lazima mkorofishane au mtafute sababu mbili tatu mzinguane.
Nikajifanya mjinga ili nitundike ki-zygote, nikiamini atabadilika huko mbeleni.
Katika harakati zangu za kupambana ili apate ki-zygote, kumbe nayeye kwa upande wake alikuwa akipambana na kutumia vitu vya kiimani (nabii) ili iweze kunasa bila mimi kujua.
Kutokana na ujuzi na shabaha, kitu kikanasa; mtoto akaanza kudeka, na katika kudeka kwake kukaleta athari kwenye uchumi; ikanibidi baadhi ya mahitaji yasiyo ya lazima nayafyekelea mbali.
Ile ilimpelekea kidogo kuwa na hasira, na kuniambia nifute namba yake; nami nilitii, ingawa nilisema kwa sababu ana kiumbe changu huko mbeleni nitakiitaji.
Sasa leo nimeamua kumchokoza kwa kumuuliza, vipi maendeleo ya kiumbe changu; kidogo akawa mkali na kusema sitakiwi kujua maendeleo yake.
Nikamwambia akizaliwa na akawa amechukua sura ya baba (yangu) namchukua; hapo ndipo akawa mkali zaidi, na kusema ukitaka maisha yako yawe mafupi uje ufanye hivyo.
Sasa hapa natafakari, naona kama vile mbegu yangu imepotea; na kwa kawaida, mbegu yoyote nzuri ni gharama, kwa nini yeye awe amejipatia bure?
Wakuu, leteni ushauri.
Mtoto mwenyewe hata kuzaliwa hajazaliwa mnaaza drama!Nipe ushauri nisitapeliwe mtoto