Huyu mrembo simuelewi...

Huyu mrembo simuelewi...

Hivi huo mda wa kutongoza hivo mnatoa wapi.

Dunia ya sasa unamwambia live mzigo napata ?akasema no unamjibu poa ,inakuwa imetoka hakuna kuchat Kama Kaka na dada
 
Hivi huo mda wa kutongoza hivo mnatoa wapi.

Dunia ya sasa unamwambia live mzigo napata ?akasema no unamjibu poa ,inakuwa imetoka hakuna kuchat Kama Kaka na dada
Umeongea kweli mkuu
 
Habari zenu wana MMU.

Akili za wanawake sometime zinachekesha sana. Iko hv kuna mtoto mmoja wa kisingida mweusi huyo ana kiuno kama nyigu na mshepu mmoja matata sana tako kama kajambia amila yuko vzr asee naweza sema kwa kijitonyama hii katika top five ya madem wenye shepu basi atakuwa namba 2 kama sio moja.

Na katokea kunikubali sana sana shida ni kuwa nikikatongoza kanachomoa nikikapotezea kananuna na kuanza kunipigia cm huku kananilaumu kwamba mbona nimemtenga basi najiteteaga kwamba ni ubize tu basi yanaisha.

Juzi kati tena kaanza kunichatisha kwa kasi mpaka usiku nikasema yes ngoja nitupie vocal kutupa vocal mtoto kachomoa tena anasema ataki mahusiano anataka tuwe tu marafiki nikaona ujinga nikakapotezea saizi tena kameanza kulia lia halafu shida pesa zangu kanataka ila kutoa mbususu akataki, kuna siku kaliniomba nikakopeshe 20k kwamba katanirudishia baada ya siku 3 nikakapa nakwambia hiyo pesa akunipa mpaka leo na mi nikamkaushia.

Jana usiku kameniomba eti nikapeleke Sinza madukani nikakanunulie magauni flani kameyapenda nikamwambia usijali nitakupeleka.

Sasa wadau huyu mtoto nitamlaje maana nishajaribu kukatoa out mara kadhaa kanachomoa na ukikaita gheto ndio akatokei kabisaa, nikajanja balaa yani mbinu zote za kuliwa kimasihara kanazijua 🤣🤣🤣🤣 mpaka huwa nakauliza hv unaujua mtandao wa Jf kanasema akaujui. Yani kako makini mbaya... akagongi vyombo na pia ni single mother wa miaka 24.
Aseee
 
Back
Top Bottom