Huyu mrembo simuelewi...

Huyu mrembo simuelewi...

Melancholic

JF-Expert Member
Joined
Oct 12, 2018
Posts
3,076
Reaction score
5,483
Habari zenu wana MMU.

Akili za wanawake sometime zinachekesha sana. Iko hv kuna mtoto mmoja wa kisingida mweusi huyo ana kiuno kama nyigu na mshepu mmoja matata sana tako kama kajambia amila yuko vzr asee naweza sema kwa kijitonyama hii katika top five ya madem wenye shepu basi atakuwa namba 2 kama sio moja.

Na katokea kunikubali sana sana shida ni kuwa nikikatongoza kanachomoa nikikapotezea kananuna na kuanza kunipigia cm huku kananilaumu kwamba mbona nimemtenga basi najiteteaga kwamba ni ubize tu basi yanaisha.

Juzi kati tena kaanza kunichatisha kwa kasi mpaka usiku nikasema yes ngoja nitupie vocal kutupa vocal mtoto kachomoa tena anasema ataki mahusiano anataka tuwe tu marafiki nikaona ujinga nikakapotezea saizi tena kameanza kulia lia halafu shida pesa zangu kanataka ila kutoa mbususu akataki, kuna siku kaliniomba nikakopeshe 20k kwamba katanirudishia baada ya siku 3 nikakapa nakwambia hiyo pesa akunipa mpaka leo na mi nikamkaushia.

Jana usiku kameniomba eti nikapeleke Sinza madukani nikakanunulie magauni flani kameyapenda nikamwambia usijali nitakupeleka.

Sasa wadau huyu mtoto nitamlaje maana nishajaribu kukatoa out mara kadhaa kanachomoa na ukikaita gheto ndio akatokei kabisaa, nikajanja balaa yani mbinu zote za kuliwa kimasihara kanazijua 🤣🤣🤣🤣 mpaka huwa nakauliza hv unaujua mtandao wa Jf kanasema akaujui. Yani kako makini mbaya... akagongi vyombo na pia ni single mother wa miaka 24.
 
We umejuaje kua kanakukubali??

Keshakuona zoba unatoa tu pesa na out za kutosha, kwa hapo sahau mbususu.
Kusema huyo manzi sijui ni mjanja, anajielewa ni kumpaisha tu.
Ni sawa na Man city ije kucheza na majimaji na ikashinda halafu uisifie man city kua inajua sana kwa kipimo cha kumfunga majimaji.
(Dem ni man city wewe majimaji)
 
Huyo ukiendelea kumtongoza atakukataa miaka buku

Kiufupi huyo ni wako haijalishi upo wewe au mpo wengi

We mualike geto kwako akija ndo unamaliza huko huko
Ameshasema demu mjanja ghetto haendi wala habari hizo zikianza anazipiga punch!
 
Back
Top Bottom