St Lunatics
JF-Expert Member
- Aug 29, 2015
- 6,644
- 11,174
Ebu nipe maufundi kijana
Mwanamke akikopa anajua malipo hana zaidi ya kukulipa kwa mbususu unahitaji kujiongeza tu unapodai malipo yako.
Lunatic [emoji2957][emoji2957][emoji2957]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ebu nipe maufundi kijana
Daah...🤣🤣🤣Mkuu watt wa Singida hawatongozwagi apo ndo ulipokosea cha kwanza!
Kalizalishwa mapema mkuu ndio kwanza kana miaka 23 kama sikoseiKwahiyo single maza akusombue wakti ujana wake kashachezea
25 mkuuDuuh..
Nimesoma koote huko nikijua ni sildi, kumbe 'singo mother' !!!
Hi inaweza ingia kwa ile orodha ya 'maajabu ya dunia'
Una umri gani mkuu?
Nipe ujanjaWw siyo mjanja
Daah..mkuu umenifurahisha sana pia ungenisaidia kujua hivo vidonge vya kusisimua papuchi vinapopatikana na vinaitwajeWa hivyo sisi mabaria tunawawekea tu kidonge cha kusisimua papuchi na atakuvulia peke yake.maji si anakunywa au soda hapo hapo nacheza naye.
Sawa sawa mkuuMwanamke akikopa anajua malipo hana zaidi ya kukulipa kwa mbususu unahitaji kujiongeza tu unapodai malipo yako.
Lunatic [emoji2957][emoji2957][emoji2957]
Akiwa muke ya mutu unafanyaje?Mwanamke akikopa sio rahisi kukulipa(hukopa kwa malipo ya mbususu)
Lunatic [emoji2957][emoji2957][emoji2957]
Umri wenu tafadhariHabari zenu wana MMU.
Akili za wanawake sometime zinachekesha sana. Iko hv kuna mtoto mmoja wa kisingida mweusi huyo ana kiuno kama nyigu na mshepu mmoja matata sana tako kama kajambia amila yuko vzr asee naweza sema kwa kijitonyama hii katika top five ya madem wenye shepu basi atakuwa namba 2 kama sio
Akiwa muke ya mutu unafanyaje?
Sasa hela yangu niliyompa mke wa mtu nitaipataje ......daaaahMke wa mtu sumuuuuuu. Kuna msela mmoja kafumaniwa na mke wa mtu Mumewe na masela wake wakawa wanambaka yule kidume kwa wiki nzima sasa hivi kawa shoga.
Lunatic [emoji2957][emoji2957][emoji2957]
Na mimi na Madam mmoja hivi madam M yeye kila siku ananipanga na pesa anakula banaHabari zenu wana MMU.
Akili za wanawake sometime zinachekesha sana. Iko hv kuna mtoto mmoja wa kisingida mweusi huyo ana kiuno kama nyigu na mshepu mmoja matata sana tako kama kajambia amila yuko vzr asee naweza sema kwa kijitonyama hii katika top five ya madem wenye shepu basi atakuwa namba 2 kama sio moja.
Na katokea kunikubali sana sana shida ni kuwa nikikatongoza kanachomoa nikikapotezea kananuna na kuanza kunipigia cm huku kananilaumu kwamba mbona nimemtenga basi najiteteaga kwamba ni ubize tu basi yanaisha.
Juzi kati tena kaanza kunichatisha kwa kasi mpaka usiku nikasema yes ngoja nitupie vocal kutupa vocal mtoto kachomoa tena anasema ataki mahusiano anataka tuwe tu marafiki nikaona ujinga nikakapotezea saizi tena kameanza kulia lia halafu shida pesa zangu kanataka ila kutoa mbususu akataki, kuna siku kaliniomba nikakopeshe 20k kwamba katanirudishia baada ya siku 3 nikakapa nakwambia hiyo pesa akunipa mpaka leo na mi nikamkaushia.
Jana usiku kameniomba eti nikapeleke Sinza madukani nikakanunulie magauni flani kameyapenda nikamwambia usijali nitakupeleka.
Sasa wadau huyu mtoto nitamlaje maana nishajaribu kukatoa out mara kadhaa kanachomoa na ukikaita gheto ndio akatokei kabisaa, nikajanja balaa yani mbinu zote za kuliwa kimasihara kanazijua 🤣🤣🤣🤣 mpaka huwa nakauliza hv unaujua mtandao wa Jf kanasema akaujui. Yani kako makini mbaya... akagongi vyombo na pia ni single mother wa miaka 24.
Arsenal ndio timu yangu mkuu nikivaa jezi ya manchester c watanishangaa watuVaa jezi ya Manchester united, alafu mfate, lazima akukubalie.anajua hawezi kukosa bao tano.sasa endelea kuvaa jezi ya Arsenal tu,atakupiga chenga kila siku
25 kwa 23Umri wenu tafadhari