Equation x
JF-Expert Member
- Sep 3, 2017
- 41,558
- 64,966
Sijui umenifanya nini:-
- Nikilala namuota yeye tu.
- Nikiamka namuwaza yeye tu.
- Nikienda kuoga natamani nioge naye tu.
- Nikiwa jikoni, natamani awepo yeye jikoni na kanga moja kiunoni.
- Nikiwa sebuleni, natamani awepo tukimbizane kimbizane.
- Nikiwa porini, natamani na yeye awepo tuwinde naye ndege.
- Tukiwa ndani usiku, natamani kuwepo na mwanga mdogo huku tukisikiliza mziki laini na waini kwa pembeni huku midomo yetu ikicheza cheza.
Wewe mwenye jina linaloanza na K, unautesa moyo wangu.
Hakikisha mwaka huu usikupite.
Hakikisha mwaka huu usikupite.
