Huyu mrembo wa JF ananichanganya akili kabisa

Huyu mrembo wa JF ananichanganya akili kabisa

Dah unajipakulia minyama tu, lakini jua hayo yote ni UBATILI mtupu!
Ukisoma kitabu cha jf 4:23-27, kinasema, ''wote mliomo humu pendaneni na mpeane vile vinavyowezekana kupeana, kunyimana ni dhambi''
 
Yule mkeo aliyekua anakupikia ugali na unamsifia humu,mmeachana au unataka kumcheat tu?

VAR

 
Yule mkeo aliyekua anakupikia ugali na unamsifia humu,mmeachana au unataka kumcheat tu?

VAR

Mkuu, nimemwagiza mhudumu akuletee balimi kumi, zinatosha?
 
Back
Top Bottom