Equation x
JF-Expert Member
- Sep 3, 2017
- 41,558
- 64,966
- Thread starter
- #81
Kuna mchongo nausubiria subiriaMizinga 21 bro
Kuna mchongo nausubiria subiriaMizinga 21 bro
Yaani huyu binti ameuteka moyo wangu sanaN
NAshindwa khwaherewa
Itakua ni zile B za elnino au sioKuna mchongo nausubiria subiria
Nchi za kiislam, Uarabuni huko, mwisho wa kutofautiana umri wa kufunga ndoa ni miaka 25.Mfano mimi nikiwa na miaka 54 nikimtongoza binti wa miaka 19 jamii itaona mi ni mzee wa hovyo sijiheshimu.
Maisha haya bila usanii, hayaendiItakua ni zile B za elnino au sio
😃Itakua ni zile B za elnino au sio
Sio mimi 😁😁 huyu mtoa mada nilishawahi kutaka kumpa akakataaNi wewe, una ngekewa, jamaa halali kwa ajili yako. 😊
Una buku ya karibu hapoumepatikana hakuna mkate mgumu mbele ya chai
ipo ya mbaliUna buku ya karibu hapo
Usijitoe mwanetu, we ndo mwenyekiti wetuJamii forum hakuna warembo.kuna mashangingi
Sio mimi 😁😁 huyu mtoa mada nilishawahi kutaka kumpa akakataa
jihadhari na hizi mvua za hapa na paleipo ya mbali
Ananisingizia mkuu, siwezi kukataa mtoto mzuri kama kKwanini alikataa?
Equation x , ilikuwaje ukamkataa Khantwe?
Sawa mkuuSubiri aje
Ananisingizia mkuu, siwezi kukataa mtoto mzuri kama k
nipe mbinujihadhari na hizi mvua za hapa na pale