Huyu mrembo wa JF ananichanganya akili kabisa

Huyu mrembo wa JF ananichanganya akili kabisa

Sijui umenifanya nini:-​
  • Nikilala namuota yeye tu.​
  • Nikiamka namuwaza yeye tu.​
  • Nikienda kuoga natamani nioge naye tu.​
  • Nikiwa jikoni, natamani awepo yeye jikoni na kanga moja kiunoni.​
  • Nikiwa sebuleni, natamani awepo tukimbizane kimbizane.​
  • Nikiwa porini, natamani na yeye awepo tuwinde naye ndege.​
  • Tukiwa ndani usiku, natamani kuwepo na mwanga mdogo huku tukisikiliza mziki laini na waini kwa pembeni huku midomo yetu ikicheza cheza.​
Wewe mwenye jina linaloanza na K, unautesa moyo wangu.
Hakikisha mwaka huu usikupite.​
Hayaee kamdinyo umefikiwa huku
 
Back
Top Bottom