Kijana wa Kizimkazi 2030
JF-Expert Member
- Apr 25, 2026
- 4,842
- 10,164
Atakuja tu usijaliEbu weka kapicha kake tumuone

Kuna shem ako humu usimchanganye ...Najua Anajitambu⁉️😠🙃🤔🥰Sijui umenifanya nini:-
Nikilala namuota yeye tu. Nikiamka namuwaza yeye tu. Nikienda kuoga natamani nioge naye tu. Nikiwa jikoni, natamani awepo yeye jikoni na kanga moja kiunoni. Nikiwa sebuleni, natamani awepo tukimbizane kimbizane. Nikiwa porini, natamani na yeye awepo tuwinde naye ndege. Tukiwa ndani usiku, natamani kuwepo na mwanga mdogo huku tukisikiliza mziki laini na waini kwa pembeni huku midomo yetu ikicheza cheza.Wewe mwenye jina linaloanza na K, unautesa moyo wangu.
Hakikisha mwaka huu usikupite.
Sio vitu vyangu hivi, hana minofu
Abiria chunga mzigo wakoKuna shem ako humu usimchanganye ...Najua Anajitambu⁉️😠🙃🤔🥰
Ndo aseme sasa ni nani aache mafumbo yake...😁😁😁😁😁mtoa mada kampenda mdada humu ID yake inaanzia na K,,,
Aka bingwa wa ngonoMwamba equation x
Unanionea tu mkuuAka bingwa wa ngono
Naona unaburuzia meza karakana. Interception kali sana.Nipo Bagamoyo bro, pokea simu.
Kwako mwalimu Kashasha!!!!Naona unaburuzia meza karakana. Interception kali sana.
What a block from behind.
Kuhangaika humu kuandika maneno mengi hv basi si umwandikie moja kwa moja tuSijui umenifanya nini:-
Nikilala namuota yeye tu. Nikiamka namuwaza yeye tu. Nikienda kuoga natamani nioge naye tu. Nikiwa jikoni, natamani awepo yeye jikoni na kanga moja kiunoni. Nikiwa sebuleni, natamani awepo tukimbizane kimbizane. Nikiwa porini, natamani na yeye awepo tuwinde naye ndege. Tukiwa ndani usiku, natamani kuwepo na mwanga mdogo huku tukisikiliza mziki laini na waini kwa pembeni huku midomo yetu ikicheza cheza.Wewe mwenye jina linaloanza na K, unautesa moyo wangu.
Hakikisha mwaka huu usikupite.
Utakuta ni dume mwenzioSijui umenifanya nini:-

Ebu nipatie namba yake ya simuKuhangaika humu kuandika maneno mengi hv basi si umwandikie moja kwa moja tu
Hakika, kila la kheri zake...
Ku.....Sijui umenifanya nini:-
Nikilala namuota yeye tu. Nikiamka namuwaza yeye tu. Nikienda kuoga natamani nioge naye tu. Nikiwa jikoni, natamani awepo yeye jikoni na kanga moja kiunoni. Nikiwa sebuleni, natamani awepo tukimbizane kimbizane. Nikiwa porini, natamani na yeye awepo tuwinde naye ndege. Tukiwa ndani usiku, natamani kuwepo na mwanga mdogo huku tukisikiliza mziki laini na waini kwa pembeni huku midomo yetu ikicheza cheza.Wewe mwenye jina linaloanza na K, unautesa moyo wangu.
Hakikisha mwaka huu usikupite.
Kazi ipo...Kabisa, ndiyo maana hata kama nimechoka uchovu hunitoka nianapo mwanamama akitingisha makebo. Yaani makebo ya mwanamke ndiyo kitulizo cha presha yangu Mzee wenu.
Maisha ni nini2/5(Mapenzi+huna maisha)
0.4mapenzi+huna maisha
0.4/0.4 Mapenzi+huna maisha/0.4
=Umefeli maisha