Equation x
JF-Expert Member
- Sep 3, 2017
- 41,558
- 64,966
Nimeshindwa kwenda hadi shambani kupalilia mahindiMwamba equation x
Kama wamezidi miaka 18 hao ni watu wazimaJamii iache utaratibu wa kuhusianisha heshima ya wanaume na mambo ya ngono. Mtu akitongoza binti mdogo asiambiwe kwamba hajiheshimu au kijana mdogo akinyandua jimama asiambiwe hajiheshimu....nyege mbaya nyie.
Mfano mimi nikiwa na miaka 54 nikimtongoza binti wa miaka 19 jamii itaona mi ni mzee wa hovyo sijiheshimu.Kama wamezidi miaka 18 hao ni watu wazima
Nipo Bagamoyo bro, pokea simu.Sahivi uko wapi?
Mkesha wa mwaka mpya tutakuwa pamoja pale mbugani. Jifunze kurukarukaSahivi uko wapi?
Achana na jamii, muhimu ishi maisha yako; utamuogopaje mtu asiyekupa ugali au panado pale unapokuwa mgonjwa?Mfano mimi nikiwa na miaka 54 nikimtongoza binti wa miaka 19 jamii itaona mi ni mzee wa hovyo sijiheshimu.
umethibitisha kuwa kweli ni mwanamke? take care.Sijui umenifanya nini:-
Nikilala namuota yeye tu. Nikiamka namuwaza yeye tu. Nikienda kuoga natamani nioge naye tu. Nikiwa jikoni, natamani awepo yeye jikoni na kanga moja kiunoni. Nikiwa sebuleni, natamani awepo tukimbizane kimbizane. Nikiwa porini, natamani na yeye awepo tuwinde naye ndege. Tukiwa ndani usiku, natamani kuwepo na mwanga mdogo huku tukisikiliza mziki laini na waini kwa pembeni huku midomo yetu ikicheza cheza.Wewe mwenye jina linaloanza na K, unautesa moyo wangu.
Hakikisha mwaka huu usikupite.
Kumbe ni bro...Nipo Bagamoyo bro, pokea simu.
Mkemia mkuu atathibitishaumethibitisha kuwa kweli ni mwanamke? take care.
Ha ha ha, wao ni mapambo ya dunia inabidi tuwape matunzoMkuu, hiyo demu usije ukaniambia ni huyu kraang, utafanye nione nimepoteza muda wangu bure kwenye uzi huu.
Aje atoe neno la busarakhadija andison mwampashi unaitwa huku.
Naenda kumficha huko mbugani, anakuwa anaonana na mimi tu pamoja na tumbili.Acha ujinga huyo sio wako peke yako mpaka awe na wewe muda wote
Akija tumbili kashika hela atampa stareheNaenda kumficha huko mbugani, anakuwa anaonana na mimi tu pamoja na tumbili.
Utakuja umuone huku uraiani baada ya miezi 6 kitumbo kikionekana.