secretarybird
JF-Expert Member
- Aug 22, 2024
- 23,984
- 51,055
Naunga mkono hoja.Ha ha ha, wao ni mapambo ya dunia inabidi tuwape matunzo
Huyu K wangu sidhani kama anapenda helaAkija tumbili kashika hela atampa starehe
Hao ndio wanawake
Kwasababu kuna mtu anampa ndio maana hakuombiHuyu K wangu sidhani kama anapenda hela
Bila wao, hii dunia ni ngumu; ndio maana nchi zingine ukiwapiga unawekwa ndani.Naunga mkono hoja.
Acha kunikatisha tamaaKwasababu kuna mtu anampa ndio maana hakuombi
Kabisa, ndiyo maana hata kama nimechoka uchovu hunitoka nianapo mwanamama akitingisha makebo. Yaani makebo ya mwanamke ndiyo kitulizo cha presha yangu Mzee wenu.Bila wao, hii dunia ni ngumu; ndio maana nchi zingine ukiwapiga unawekwa ndani.
Hahahhhh mkuu hivi huwa una wake wangapi?Nimeshindwa kwenda hadi shambani kupalilia mahindi
Inabidi utafute watatu, wa namna hiyo uwekeze; uanze kulipia bili.Kabisa, ndiyo maana hata kama nimechoka uchovu hunitoka nianapo mwanamama akitingisha makebo. Yaani makebo ya mwanamke ndiyo kitulizo cha presha yangu Mzee wenu.
Kila la kheri upate hitaji lako la moyo
Ameeni, ebu pata kahawa hapo canteen k atakuja kulipa.Kila la kheri upate hitaji lako la moyo
Bila wao dunia haizunguki mkuuHahahhhh mkuu hivi huwa una wake wangapi?
Dah unajipakulia minyama tu, lakini jua hayo yote ni UBATILI mtupu!Bila wao dunia haizunguki mkuu
Hahahhhhh mbona wapo mkuu.Jamii forum hakuna warembo.kuna mashangingi
Kabisa 😅Inabidi utafute watatu, wa namna hiyo uwekeze; uanze kulipia bili.
Nahitaji ndioWewe huitaji hitaji la moyo wako? 😊
Sawa asanteAmeeni, ebu pata kahawa hapo canteen k atakuja kulipa.
Nitakupigia nitakupigiaaaaa bro nipo pabaya.......Nipo Bagamoyo bro, pokea simu.