Huyu msanii Sia ni hatari

elmagnifico

JF-Expert Member
Joined
Jul 7, 2011
Posts
8,261
Reaction score
9,733
Nilikuwa natazama animation flani ya muda inaitwa Bellarina sasa kuna wimbo ukapigwa unaitwa suitcase ukanivutia nikataka kujua kauimba nani.
Ndipo nikaja kugundua ni mwanamama mzaliwa wa australia ambaye anaishi US anaitwa Sia.
Nikatafta nyimbo zake nyingine youtube nikakutana masong makali kama never give up, unstoppable, na mengine mengi kwa wale wapenda nyimbo strong za ballard huyu mama hatari na nyimbo zake full maujumbe.
Ndiye alishiriki kuandika diamond ya rihanna, kaandika nyimbo na celline dion, push T na nyingne nyingi.
 
Umemjua Sia leo... Umechelewa sana mkuu, Sia anajua sana hata kabla hajawa adict na madawa..
Tafuta albums zake utaenjoy zaidi, kwangu album bora toka kwake ni 100 forms of fears
 
Amekuwa drug addict? Pole yake kwakweli she is very talented.
Unamfahamu mwanamama enya?
Umemjua Sia leo... Umechelewa sana mkuu, Sia anajua sana hata kabla hajawa adict na madawa..
Tafuta albums zake utaenjoy zaidi, kwangu album bora toka kwake ni 100 forms of fears
 
Sia ni tishoo ameandikia wasanii wengi sana wakubwa na ningoma kali mno
Ndio mkuu mfano pretty heart ya beyonce. Diamond ya Rihanna. Na ngoma flani hivi ya pitbull na jlo kama ya world cup kaandika nyingi sana
Shida sia ana ugonjwa wa ngozi kama Michael Jackson unaitwa vitiligo huwa hatokei kwenye video zake hata performance zake jukwaan anaziba USO.
 
yy ni black and white ndio ID yake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…