Huyu msanii Sia ni hatari

Huyu msanii Sia ni hatari

1575700121954.png
100 forms of fears
1000✍✔

Track list to Sia's "1000 Forms of Fear" album

1. Chandelier
2. Big Girls Cry
3. Burn the Pages
4. Eye of the Needle
5. Hostage
6. Straight for the Knife
7. Fair Game
8. Elastic Heart (produced by Diplo, co-produced by Greg Kurstin)
9. Free the Animal
10. Fire Meet Gasoline
11. Cellophane
 
Kweli mkuu, mi mwenyewe wasanii kama Katy Perry nilimsikia tu bahati mbaya na ngoma yake ya firework, ndo ukawa mwanzo wa kupenda muziki wa pop..

Kujua wasanii wote ni ngumu, hata waimba muziki wa country kama Carrie Underwood na faith hill nimewajua si miaka mingi ila ni wasanii wakali sana..

Ila kwa case ya SIA ni rahis kumjua hasa kutokana na alivyojibrand hasa ile kuficha identity yake, pia nyimbo zake zimefikisha mpka views 2b youtube hivyo ni msanii maarufu na anapaswa kujulikana na kila mpenda burudani!
Huwezi kujua wasanii wote dunia hii wengine unakutana nao bahati mbaya unajiuliza hivi nilikuwa wapi sikuwahi kumjua huyu?
 
Hiyo fire meet gasoline ya moto sana...
Kifupi huyu mama hachoshi kumsikiliza!!

1000[emoji871][emoji818]

Track list to Sia's "1000 Forms of Fear" album

1. Chandelier
2. Big Girls Cry
3. Burn the Pages
4. Eye of the Needle
5. Hostage
6. Straight for the Knife
7. Fair Game
8. Elastic Heart (produced by Diplo, co-produced by Greg Kurstin)
9. Free the Animal
10. Fire Meet Gasoline
11. Cellophane
 
Uyo sia umsikilize ukiwa umetulia, anafikirisha sana
 
Allan walker namjua chain smoker poa huyo mwingine simjui[emoji16]
Yani mkuu ni kweli huwezi kufaham wasanii wakali wote Duniani ila kuna wale the best...Sia huwez kusema humfaham...

Yani kuna Sia,Allan walker,pia wale chainsmoker,clean bandit yani kuna watu hutakiw kusema hukuwajua [emoji16][emoji16]
 
Mimi kuna nyimbo zangu napenda penda nyingine nazskia bahat mbaya mfano nyimbo za enya nazpenda sana
Yani mkuu ni kweli huwezi kufaham wasanii wakali wote Duniani ila kuna wale the best...Sia huwez kusema humfaham...

Yani kuna Sia,Allan walker,pia wale chainsmoker,clean bandit yani kuna watu hutakiw kusema hukuwajua [emoji16][emoji16]
 
The Greatest naamkaga nayo, kazini niko nayo, usiku kucha niko nayo.

Sia ni hatari. Ukiingia Youtube kwake kugonga Bilion views ni kitu cha kawaida sana na wala hatumii nguvu nyingi.

Kweli kizuri chajiuza.
 
inatokeaga lakini kupitwa, msimshangae sana.
Yaani wewe ndo unamjua leo SIA??..not a bad thing though
We jamaa hakika ni mshamba sanaa....
Since 2011 on JF hujawahi mjua SIA.

Inawezekana hata humjui PINK wewe...maana mimi huwa nawafanisha hawa swagger zao
Umemjua Sia leo... Umechelewa sana mkuu, Sia anajua sana hata kabla hajawa adict na madawa..
Tafuta albums zake utaenjoy zaidi, kwangu album bora toka kwake ni 100 forms of fears
 
She is kind too
Ndio mkuu mfano pretty heart ya beyonce. Diamond ya Rihanna. Na ngoma flani hivi ya pitbull na jlo kama ya world cup kaandika nyingi sana
Shida sia ana ugonjwa wa ngozi kama Michael Jackson unaitwa vitiligo huwa hatokei kwenye video zake hata performance zake jukwaan anaziba USO.
 
Back
Top Bottom