Huyu msanii Sia ni hatari

Old album, i love it though.
 
Naipenda sana Titanium ambayo kashirikishwa na David Guetta.

Kwa mara ya kwanza nmemfahamu sia Kupitia wimbo wa Wild one alioshirikishwa na Florida...

Anajiweza aiseeee huyu mdada
 
We jamaa hakika ni mshamba sanaa....
Since 2011 on JF hujawahi mjua SIA.

Inawezekana hata humjui PINK wewe...maana mimi huwa nawafanisha hawa swagger zao
Pink!!! Haaaaa haaaa I like her, anaimba hatari na rangi yake kama ya pink vile
 
David Guetta Feat Sia - Titanium. Naupenda sana ule wimbo
 
Hatari huyo kiumbe..na kuna mwenzie anaitwa PINK nae ni kisanga na nusu
 
Mkuu huwezi jua wasanii woote dunia hii. Pink namjua toka niko darasa la 4 mwaka 2002.
We unamjua Hans Zimmer?
hhaaahhhhh!!!!2002 Sia ana takribani miaka 10 hapo katika tasnia ya burudani na muziki wewe uko la'4C......dahhh!!!ndio maana umechelewa kumfahamu,kukuongezea tu nikwamba she is a queer!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…