Huyu msanii Sia ni hatari

Mkuu huwezi jua wasanii woote dunia hii. Pink namjua toka niko darasa la 4 mwaka 2002.
We unamjua Hans Zimmer?
hhaaahhhhh!!!!2002 Sia ana takribani miaka 10 hapo katika tasnia ya burudani na muziki wewe uko la'4C......dahhh!!!ndio maana umechelewa kumfahamu,kukuongezea tu nikwamba she is a queer!!
 
bnimeanza kumsikiliza tangu 2012 aliposhirikishwa na David Gueta kwenye She wolf
 
Huwezi kujua kila kitu, vingine utavijua utotoni, vingine ujanani na vingine uzeeni. Tunajifunza kila siku.
Vilevile anavyovijua yeye wewe huvijui, hata mimi ninamsoma huyo Sia leo, nilidhani anamwongelea yule Nsia maarufu wa st. Augustine
We jamaa hakika ni mshamba sanaa....
Since 2011 on JF hujawahi mjua SIA.

Inawezekana hata humjui PINK wewe...maana mimi huwa nawafanisha hawa swagger zao
 
Kweli kabisa mkuu.
Yule msabato mwenye mshape. Wakati tukio limetokea nilikuwa kidato cha sita Nsumba boys pale, sasa akaja kwenye mahafari ngoja tugombee kupiga naye picha
Huwezi kujua kila kitu, vingine utavijua utotoni, vingine ujanani na vingine uzeeni. Tunajifunza kila siku.
Vilevile anavyovijua yeye wewe huvijui, hata mimi ninamsoma huyo Sia leo, nilidhani anamwongelea yule Nsia maarufu wa st. Augustine
 
Wengine tumezaliwa juzi hatumjuwi huyo ni nani, tueleweshe tumjue vizuri.
 
Ni kweli video zake nyingi hajitokez yeye mwenyw, ila anaimba sana huyu mmama, huwa npnd kusikiliza nymb zake.
 
Napenda kusikiliza nyimbo zake...sichoki kuzidownload kila wakati
 
Sia ana vibao vikali, sikiliza vifuatavyo utatoa mrejesho..

1. Unstoppable
2. Breath me
3. Reaper
4. Joy i call life
5. Till dawn ( featuring)

Hii joy i call life ni kibao kikali mno...
 
Duuh...! Nimezicheck mkuu,ila kenyewe hakavutii kabisa,utafikiri 1. Tupaja fimbo,Hakana hata chura moja kwa mbali hivi hata ya kudanganyishia,hata kama ya Vanessa hivi
 
Ha ha hako kabinti ni kadamcer tu.. Usije ukadhani ndo Sia
Duuh...! Nimezicheck mkuu,ila kenyewe hakavutii kabisa,utafikiri 1. Tupaja fimbo,Hakana hata chura moja kwa mbali hivi hata ya kudanganyishia,hata kama ya Vanessa hivi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…