Huyu msanii sijawahi kumuelewa

Ni mawazo yako na ninayaheshimu mkuu..

Ngoja niendelee kusikiliza 2025 hapa..
 
Harmo sikubali uchizi uchizi wake Ila yupo serious na uandishi tofauti na wasanii wengi wa siku hizi. Ukiskiiza naogopa, mule alijimaliza
Huyo ndo anajua sasa kuanzia uandishi sio haha ka jamaa kanakoimba miama💔😄
 
Ushasikiliza ule wimbo wake wa mtoto kautaa? Hitsong kali mnoo
 
Huwa mnapata wapi muda mchafu wa kusikiliza hizi takataka na kelele zinazoitwa " Bongo fleva "?
Umezijuaje kama na wewe hukupata huo muda unaouita mchafu wa kuzisikiliza.
 
Vijana wa kitanzania mna wivu wa kingese sana.
 
Mkuu Hawatakuelewa humu ndani ila ukweli marioo anabebwa na beats na Mistari yake tu ila sauti awaachie wengine. Kama unajua kutunga haimaanishi kuwa ndo uimbe hii kanuni watu wanafosi mno.

Walio humu ndani wanalishwa kilichopo mainstream ilimradi wanakisikia basi ila uchambuzi wa kitaalam ni zero.

NB: Marioo, Lody Music, Jay Melody ni watunzi wazuri mno ila sio kila wimbo wanapaswa wafanye kwa sauti zao, udhaifu unaonekana kirahisi sana.
 
Pumba
 
Ndiyo muziki ulivyo, lazima wawepo usioelewa(usiopenda) aina yao ya muziki.
Sijui kwenu vijana choice zenu lakini alipoanza ni kama alipendwa kulikuwa na nyimbo anasifia ulevi ilivuma sana ila ni kama kwa sasa kaingia kimavi kiaina anapotea mdogomdogo yaani trend ikiendelea hivi by 2026 atakuwa amesahaulika jumla.
 
View attachment 3182349Ukiachana na nyimbo ya "chibonge" "dar kugumu" na "mi amor" hakuna nyimbo ya huyu jamaa niliwahi kupenda wala kuelewa
Tatizo langu binafsi ni wadau wa humu sio called great thinkers yaani unakuta mtu anajicontradict kwenye sentensi moja let alone paragraph nzima.... Case in point heading unasema haujawahi kumuelewa alafu content unaweza miziki mitatu ambayo uliielewa... !!!!
Anaimba takataka tupu!
Sasa uligundua vipi kama ni takataka bila kuzielewa ?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…