Huyu mshangazi anataka kunitumia kama daraja

Utalii uliposhuka arusha ndoa nyingi zilishake. Nilikuwa arusha by then. Wanawake waliwaacha wanaume zao live live bila haya meana maisha yalibadilika gafla
 
Umeishasema alikueleza hali halisi ya Maisha yake, kinachotakiwa ni wewe kumsaidia kibinadamu na sio lazima umkule.

Msaidie tu kwa moyo mmoja bila kuwaza vibaya.😜
 
Umeishasema alikueleza hali halisi ya Maisha yake, kinachotakiwa ni wewe kumsaidia kibinadamu na sio lazima umkule.

Msaidie tu kwa moyo mmoja bila kuwaza vibaya.😜
Angekuwa ni mzee wake hapo sawa, sasa mwanaume kuwa na ukaribu na mke wa mtu, unategemea nini? Unaweza ukawa unatenda wema, je mmewe atajua huo wema?
 
Angekuwa ni mzee wake hapo sawa, sasa mwanaume kuwa na ukaribu na mke wa mtu, unategemea nini? Unaweza ukawa unatenda wema, je mmewe atajua huo wema?
Mume hapo hahusiki msaidie rafiki yako hayo mengine yaache.
 
Pesa inatoa mtu thamani.aisee Mungu atujalie mwisho mwema
Huyo mama kakosa heshima kabisa
Mkuu Achana nae.
 
Sio kila msaada unatoa unafaidika. Mbona sie tunawapa vipochi bila kujali mnatupatia nini
Wanaume wengi huwa tuna huruma, ndio maana tunaongoza kwa kuhonga vitu vikubwa, mwisho wa siku tunaangukia pua; tujifunze kwa walitutangulia, Tyrese amefilisiwa na mwanamke aliyekuwa mke wake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…