Huyu mshangazi anataka kunitumia kama daraja

Habari wakuu

Kuna dada mmoja nilisoma naye zamani, miaka mingi kidogo iliyopita. Katika mazingira ya shule tulikuwa tukionyeshana hisia kwa mbali ingawa mpaka tunamaliza hatujawahi kuwa wapenzi.

Baada ya kuhitimu kila mmoja aliendelea na maisha yake, yeye aliolewa na bwana x, aliyekuwa akimiliki kampuni y ya kupeleka watu mbugani. Maisha kwao yalikuwa mazuri sana na walifanikiwa kupata watoto wawili ambao kwa sasa wako chuo kikuu.

Maisha hayatabiriki, kile kipindi cha majanga, wageni wakapungua na kupelekea kampuni kufilisika, na kujikuta jamaa anaanza sifuri. Ilibidi jamaa aame mkoa na kwenda kujaribu shughuli zingine, ambazo kwa sasa zinampa hela tu ya kula.

Kutokana na mwanamke kupenda maisha ya juu, kwake ikawa ni mtihani, kwa sababu yale maisha alioyazoea hayapo tena. Ndipo siku moja, nikapokea simu yake kwa mara ya kwanza, na kunijulisha amenitafuta sana muda mrefu, anataka niwe mshauri wake afanye biashara ipi.

Nikamwambia hakuna shida tutakuwa tunashauriana abc pale panapo wezekana; ndipo akanieleza mkasa wake na kutaka kujua mimi niko na familia au vipi.

Basi tukawa tunawasiliana hapa na pale, ila yeye akawa ananipigia simu ata usiku, nikimuuliza humuogopi mzee wako? anasema yeye ni mtu mzima afuatilii haya mambo.

Baada ya kuumiza kichwa na kutafakari sana, nikagundua huyu anataka anitumie kama daraja ili afanikishe lengo lake kisha anibwage.

Nikaona kabla sijafika mbali, inabidi tubadilishane joto kwanza; tukaweka mikakati ikawa imepangilika vizuri.

Kuna siku nilikuwa nimeenda nchi jirani, wakati wakurudi nikafikia kwenye mkoa aliopo, nikampa taarifa tuonane, akasema haina shida; baada ya dakika 20 ananitumia meseji ametembelewa na mama mkwe kwa hiyo atutaweza kuonana.

Nilipiga mahesabu kiutu uzima, nikagundua nimepigwa chenga; nami nikamjibu sawa. Nikaendelea na shughuli zangu na hatimaye nikarudi mkoani kwangu.

Baada ya kufika mkoani sasa amekuwa akinisumbua sana, mara mwezi ujao nimtumie nauli aje anitembelee, mara ninachangamoto kidogo ya salio naomba unitumie; kwa huruma nilimtumia kiasi kidogo kama 50 hivi.

Kibaya zaidi kwa sasa, amezidisha hali ya kuomba omba; sasa najiuliza haya ni mapenzi au anatafuta mteremko wa maisha?

Sasa hivi kuna 'missed call' zake tatu, na sitaki kupokea; kwa sababu nimeshagundua anataka kunitumia kama daraja.

Equation x mzee wa michepuko nimeshastaafu.

Karibuni kwa ushauri.​
nina face similar situation ila sio mshangazi ni kamtu ka late 90s, nime slide mara moja tu mara niazime gari! Mara niletee zawadi, mara mkeo anafaidi, mara kuitana soulmate akat i was clear no strings attached! hv hawajuagi mtu ukiwa demanding sana unachosha haswa kama huna ukali huo kihiiivyo, alaf alimzunguka rafiki yake kukilengesha nkaona nisipo bamiza ntakua mlenda mlenda maana nilimpa free pass 2 alivokuja kuniona bila ata kuitwa! anaweza ata kunidhuru me pia huyu kambale kama alim snitch shogaake.. shwain bastard.

Kujilengesha koote ili tu nimpe tenda flan, sasa ashapata ndo anajifanya kazama mazima kwa mentali, some women are social climbers.

N.B usile mke wa mtu mkuu, not worth it.
 
Habari wakuu

Kuna dada mmoja nilisoma naye zamani, miaka mingi kidogo iliyopita. Katika mazingira ya shule tulikuwa tukionyeshana hisia kwa mbali ingawa mpaka tunamaliza hatujawahi kuwa wapenzi.

Baada ya kuhitimu kila mmoja aliendelea na maisha yake, yeye aliolewa na bwana x, aliyekuwa akimiliki kampuni y ya kupeleka watu mbugani. Maisha kwao yalikuwa mazuri sana na walifanikiwa kupata watoto wawili ambao kwa sasa wako chuo kikuu.

Maisha hayatabiriki, kile kipindi cha majanga, wageni wakapungua na kupelekea kampuni kufilisika, na kujikuta jamaa anaanza sifuri. Ilibidi jamaa aame mkoa na kwenda kujaribu shughuli zingine, ambazo kwa sasa zinampa hela tu ya kula.

Kutokana na mwanamke kupenda maisha ya juu, kwake ikawa ni mtihani, kwa sababu yale maisha alioyazoea hayapo tena. Ndipo siku moja, nikapokea simu yake kwa mara ya kwanza, na kunijulisha amenitafuta sana muda mrefu, anataka niwe mshauri wake afanye biashara ipi.

Nikamwambia hakuna shida tutakuwa tunashauriana abc pale panapo wezekana; ndipo akanieleza mkasa wake na kutaka kujua mimi niko na familia au vipi.

Basi tukawa tunawasiliana hapa na pale, ila yeye akawa ananipigia simu ata usiku, nikimuuliza humuogopi mzee wako? anasema yeye ni mtu mzima afuatilii haya mambo.

Baada ya kuumiza kichwa na kutafakari sana, nikagundua huyu anataka anitumie kama daraja ili afanikishe lengo lake kisha anibwage.

Nikaona kabla sijafika mbali, inabidi tubadilishane joto kwanza; tukaweka mikakati ikawa imepangilika vizuri.

Kuna siku nilikuwa nimeenda nchi jirani, wakati wakurudi nikafikia kwenye mkoa aliopo, nikampa taarifa tuonane, akasema haina shida; baada ya dakika 20 ananitumia meseji ametembelewa na mama mkwe kwa hiyo atutaweza kuonana.

Nilipiga mahesabu kiutu uzima, nikagundua nimepigwa chenga; nami nikamjibu sawa. Nikaendelea na shughuli zangu na hatimaye nikarudi mkoani kwangu.

Baada ya kufika mkoani sasa amekuwa akinisumbua sana, mara mwezi ujao nimtumie nauli aje anitembelee, mara ninachangamoto kidogo ya salio naomba unitumie; kwa huruma nilimtumia kiasi kidogo kama 50 hivi.

Kibaya zaidi kwa sasa, amezidisha hali ya kuomba omba; sasa najiuliza haya ni mapenzi au anatafuta mteremko wa maisha?

Sasa hivi kuna 'missed call' zake tatu, na sitaki kupokea; kwa sababu nimeshagundua anataka kunitumia kama daraja.

Equation x mzee wa michepuko nimeshastaafu.

Karibuni kwa ushauri.​
Mkatie bus online ticket aje, umpokee, mbona simple, alaf nitakupa technics za kutosha ili asikusumbue huyu mshangazi, pole sana kwa changamoto
 
Shusha hizo nondo, kwa sasa sipokei simu zake, najua ni mizinga tu.
 
Pokea tu simu zake mwambie nitakupigia niko na mama watoto, mbona simple.

Nakama anang'ang'ania kuja mwambie nakukatia ticket ya BM online uje, maana hata asipokuja utakuwa hujapata hasara kihivyo na ndio itakuwa mwisho wa mawasiliano,

Usimblock maana milima haikutani, tafuta sababu ambayo hataweza kuifanya na kama anahitajia dyudyu atakujaaa, na akija kweli inabidi uwe na nguvu kwelikweli, akiwa anakuja inabidi unywe juice ya vitunguu maji, asali na limao ili akuheshimu hata kama huna hela akulilie tuuu.
 
Habari wakuu

Kuna dada mmoja nilisoma naye zamani, miaka mingi kidogo iliyopita. Katika mazingira ya shule tulikuwa tukionyeshana hisia kwa mbali ingawa mpaka tunamaliza hatujawahi kuwa wapenzi.

Baada ya kuhitimu kila mmoja aliendelea na maisha yake, yeye aliolewa na bwana x, aliyekuwa akimiliki kampuni y ya kupeleka watu mbugani. Maisha kwao yalikuwa mazuri sana na walifanikiwa kupata watoto wawili ambao kwa sasa wako chuo kikuu.

Maisha hayatabiriki, kile kipindi cha majanga, wageni wakapungua na kupelekea kampuni kufilisika, na kujikuta jamaa anaanza sifuri. Ilibidi jamaa aame mkoa na kwenda kujaribu shughuli zingine, ambazo kwa sasa zinampa hela tu ya kula.

Kutokana na mwanamke kupenda maisha ya juu, kwake ikawa ni mtihani, kwa sababu yale maisha alioyazoea hayapo tena. Ndipo siku moja, nikapokea simu yake kwa mara ya kwanza, na kunijulisha amenitafuta sana muda mrefu, anataka niwe mshauri wake afanye biashara ipi.

Nikamwambia hakuna shida tutakuwa tunashauriana abc pale panapo wezekana; ndipo akanieleza mkasa wake na kutaka kujua mimi niko na familia au vipi.

Basi tukawa tunawasiliana hapa na pale, ila yeye akawa ananipigia simu ata usiku, nikimuuliza humuogopi mzee wako? anasema yeye ni mtu mzima afuatilii haya mambo.

Baada ya kuumiza kichwa na kutafakari sana, nikagundua huyu anataka anitumie kama daraja ili afanikishe lengo lake kisha anibwage.

Nikaona kabla sijafika mbali, inabidi tubadilishane joto kwanza; tukaweka mikakati ikawa imepangilika vizuri.

Kuna siku nilikuwa nimeenda nchi jirani, wakati wakurudi nikafikia kwenye mkoa aliopo, nikampa taarifa tuonane, akasema haina shida; baada ya dakika 20 ananitumia meseji ametembelewa na mama mkwe kwa hiyo atutaweza kuonana.

Nilipiga mahesabu kiutu uzima, nikagundua nimepigwa chenga; nami nikamjibu sawa. Nikaendelea na shughuli zangu na hatimaye nikarudi mkoani kwangu.

Baada ya kufika mkoani sasa amekuwa akinisumbua sana, mara mwezi ujao nimtumie nauli aje anitembelee, mara ninachangamoto kidogo ya salio naomba unitumie; kwa huruma nilimtumia kiasi kidogo kama 50 hivi.

Kibaya zaidi kwa sasa, amezidisha hali ya kuomba omba; sasa najiuliza haya ni mapenzi au anatafuta mteremko wa maisha?

Sasa hivi kuna 'missed call' zake tatu, na sitaki kupokea; kwa sababu nimeshagundua anataka kunitumia kama daraja.

Equation x mzee wa michepuko nimeshastaafu.

Karibuni kwa ushauri.​
Duh mbona kama unamzungumzia mke wangu embu ngoja nije PM unielezee vizuri

Kwenye jambo ili ntakua mkali Sanaa
 
Achana na wake za watu jombaa. Hasa kama anakutafuta kwasababu mumewe kayumba Mungu ana tabia ya kulipiza kisasi. Unachangia kifo cha jamaa kwa kusononeka kwa kuona mabadiliko ya mkewe.
 
Uwongo ngozi haing'arishwi na ulaji wa hivyo vitu labda uniambie unaogopa kitambi na mashavu yatapungua
Fanya uchunguzi mdogo, anayekula supu ya mchicha kila siku, na anayekula supu ya kongoro kila siku; ni yupi ametakata?
 
Fanya uchunguzi mdogo, anayekula supu ya mchicha kila siku, na anayekula supu ya kongoro kila siku; ni yupi ametakata
Huyu atakuwa anatakata bila kunenepeana ila
Wew wa kongoro lazima uwe nyama uzembe
 
Back
Top Bottom