chamaclotus
JF-Expert Member
- Apr 19, 2019
- 1,079
- 2,273
Washikaji tuheshimu wachumba wa watu[emoji23][emoji23][emoji23]...umezidiwa kiwango cha kutom...ba
Kaa kwa kutulia tafuta mwingine
Poleeeee weeeee
Hakuna cha competition jamaa anaingilia mahusiano yanguSugar competition
Sasa mi ninyanganywe mwanamke nayetaka kumuoa?Mwenye kisu kikali ndio hula nyama. Pole kwa kunyang’anywa tonge mdomoni
Usicheke
Huyo ni demu na siyo mchumba! Ni vile tu siku hizi uzinzi umetanda kila sehemu na watu wanalitumia neno mchumba vibayaWashikaji tuheshimu wachumba wa watu
Sio amezidiwa maokoto?[emoji23][emoji23][emoji23]...umezidiwa kiwango cha kutom...ba
Kaa kwa kutulia tafuta mwingine
Poleeeee weeeee
Swaga kivipi mimi huyu ni mchumba nategemea kuoa.Huna swaga
Sasa itakuwaje? Usije ukajidhuru tu mkuuSasa mi ninyanganywe mwanamke nayetaka kumuoa?
Vijana tujifunze kuheshimu mahusiano ya watuHuyo ni demu na siyo mchumba! Ni vile tu siku hizi uzinzi umetanda kila sehemu na watu wanalitumia neno mchumba vibaya