Johnny Impact
JF-Expert Member
- Sep 12, 2017
- 5,502
- 9,070
Hata hujiongezi? Huyo mwanamke anajua kabisa yupo na wewe ila amemkubalia rafiki yako.Kwema wakuu,
Najiuliza nimfanyeje huyu jamaa. Anajua kabisa huyu demu alikuwa mchumba wangu na nilikuwa na malengo ya kumuoa lakini kamtongoza na kumpata na demu kanipiga mimi chini.
Sasa nawaza huyu mshikaji nimpoteze kabisa.
Angekuwa anakupenda huyo mwanamke angemkataa jamaa hata kukuambia ila wew umeshtuka jamaa anakula mzigo.
Ulivyo na akili za sukuma wiki unataka kumpoteza rafiki yako kwasababu ya huyo mwanamke. Utafanya hivyo, atatongozwa tena ataliwa, utapoteza.
Atatongozwa tena, ataliwa utaenda kupoteza.
Wewe ni kuwapoteza tu wanaume wenzako kisa huyo malaya unayemfuga.
Mwisho wa siku, utakamatwa kwa kosa la mauaji, utaenda jela na mwanamke atabaki uraiani analiwa km kawaida.
Pole sana