Huyu mshikaji kamtongoza na kumpata Mwanamke wangu, huku akijua nina mahusino naye

Kunawengine wanamaokoto lakini...wanavibamia kama chamaclotus sasa unategemea hupeleko moto nini kitafuata
Hahaha............Kuna mtu alisema utamu wa pipi ni mate yako, kwahiyo hivyo vibamia ni mind set tu watu wanafikishwa kibo na hivyo hivyo 😜

Ila kikubwa Maokoto, huoni Zailyssa wa Anko Manara ametulizwa 😅
 
Kwema wakuu,

Najiuliza nimfanyeje huyu jamaa. Anajua kabisa huyu demu alikuwa mchumba wangu na nilikuwa na malengo ya kumuoa lakini kamtongoza na kumpata na demu kanipiga mimi chini.

Sasa nawaza huyu mshikaji nimpoteze kabisa.
kutongozeana na kuchapiana ni mambo yasiyoepukika
 
Kwema wakuu,

Najiuliza nimfanyeje huyu jamaa. Anajua kabisa huyu demu alikuwa mchumba wangu na nilikuwa na malengo ya kumuoa lakini kamtongoza na kumpata na demu kanipiga mimi chini.

Sasa nawaza huyu mshikaji nimpoteze kabisa.
We kitobo kweli yaani umpoteze mwanaume mwenzio kisa huyo malaya...? Kifupi jifanya hakuna kilicho tokea hata kama unaumia niamini mimi huyo demu atarudi anakulilia.

Ila ukijifanya kuwafatilia huyo jamaa atajiona kaopoa dhahabu na demu ndio atajiona keki mara mia ya hapo ila ukiwapotezea watajiona mafala sana
 
Kwema wakuu,

Najiuliza nimfanyeje huyu jamaa. Anajua kabisa huyu demu alikuwa mchumba wangu na nilikuwa na malengo ya kumuoa lakini kamtongoza na kumpata na demu kanipiga mimi chini.

Sasa nawaza huyu mshikaji nimpoteze kabisa.
Wala haina haja ya kudeal na huyo jamaa, mwanamke wako ndo tatizo anajua ana mpenzi kwann anakubali kuwa na mtu mwingine.
 
Hiyo ni female hypergamy! Inauma ila kubai matokeo na boresha maisha yako
 
Mwanaume Kamili hawezi kubabaika kwenye hilo labda mwaume suruali 🐒

hekima na Busara za Mwanaume Kamili zitamtuma kumpotezea demu na uyo jamaa wasonge kivyao nawe ukasonga na maisha mengine 🐒

hiyo ya kupoteza haina maana yeyote 🐒
Kwema wakuu,

Najiuliza nimfanyeje huyu jamaa. Anajua kabisa huyu demu alikuwa mchumba wangu na nilikuwa na malengo ya kumuoa lakini kamtongoza na kumpata na demu kanipiga mimi chini.

Sasa nawaza huyu mshikaji nimpoteze kabisa.
 
Wapige chini wote, hapo ni bora umefahamu hao sio watu wazuri kwako, kuliko ungeendelea kuwaruhusu katika maisha yako.
 
Kwema wakuu,

Najiuliza nimfanyeje huyu jamaa. Anajua kabisa huyu demu alikuwa mchumba wangu na nilikuwa na malengo ya kumuoa lakini kamtongoza na kumpata na demu kanipiga mimi chini.

Sasa nawaza huyu mshikaji nimpoteze kabisa.
Mpotezee Demu..Mshukuru sana mshkaji..Ulikuwa unaenda Kuoa MALAYA
 
Kwema wakuu,

Najiuliza nimfanyeje huyu jamaa. Anajua kabisa huyu demu alikuwa mchumba wangu na nilikuwa na malengo ya kumuoa lakini kamtongoza na kumpata na demu kanipiga mimi chini.

Sasa nawaza huyu mshikaji nimpoteze kabisa.

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] jikaze mkuu na wewe tafuta mnyonge mchukulie demu wake
 
Kwema wakuu,

Najiuliza nimfanyeje huyu jamaa. Anajua kabisa huyu demu alikuwa mchumba wangu na nilikuwa na malengo ya kumuoa lakini kamtongoza na kumpata na demu kanipiga mimi chini.

Sasa nawaza huyu mshikaji nimpoteze kabisa.
Wale wote
 
Pole
 
Back
Top Bottom