Huyu mtangazaji anaitwa nani? marital status yake?

Huyu mtangazaji anaitwa nani? marital status yake?

Habari wanafamilia JF.

A couple of days back, I was watching some local news streams... nikawa namuona several times... and I was like ooh huyu binti why nisim-link to BBC Swahili or MTV Base S.A to scale-up her career.

View attachment 594759

Ila nikawa na maswali kichwani mwangu...
  • Marital status yake ipoje?
  • Je, 'anatema yai' vizuri bila kulowa jasho, au ni mtu wa 'the' na 'actually' nyiiiingi kila baada ya maneno mawili?
  • How can you rate/rank her character?
Kimsingi, ningependa awe my step sister... pia asimamie miradi yangu kadhaa local and/or international ones.
Anaitwa Julieth Robert, ni ITV presenter/personality
 
Kwa tuliopigwa msasa wa "elimu ya uso" ktk kumtambua mtu na maisha yake, acha tunyamaze.
BTW:
She is cute
 
Habari wanafamilia JF.

A couple of days back, I was watching some local news streams... nikawa namuona several times... and I was like ooh huyu binti why nisim-link to BBC Swahili or MTV Base S.A to scale-up her career.

View attachment 594759

Ila nikawa na maswali kichwani mwangu...
  • Marital status yake ipoje?
  • Je, 'anatema yai' vizuri bila kulowa jasho, au ni mtu wa 'the' na 'actually' nyiiiingi kila baada ya maneno mawili?
  • How can you rate/rank her character?
Kimsingi, ningependa awe my step sister... pia asimamie miradi yangu kadhaa local and/or international ones.
Naona mkuu unatafuta uwekezaji
 
hahaahahahaahah! mbwembwe tele wa tele, intelligent ones have his mission on their minds..............
 
Eeehh!!

Umechanganyikiwa wewe!!??
 
Nakuomba usisahau mafuta ya KY jelly katika harakati zako za kumtafuta Mke wangu kipenzi, ili nitakapo kubananisha nikuoneshe matumizi pendwa ya hicho kilainishi ....

[HASHTAG]#MkeWaMtuNiSumu[/HASHTAG]
Picha yake hii hapa

2158fb8c5b32db1b91086748758b7616.jpg
 
Back
Top Bottom