b191
JF-Expert Member
- Jul 24, 2016
- 742
- 1,031
Kuna mtu alileta uzi kuhusu huyu mtangazi kuwa amempenda anaomba detail zake sijui aliishia wapi
Atakuwa hi huyu huyu ila kabadili ID maana swali la Kwanza tu anaulizi MARITAL STATUS.
Nadhani anataka kujua hilo tu. Hayo mengine ni geresha tu.