Huyu mtangazaji huwa namsikiliza sana habari zake kumbe shoga?

Richard Quest ndio mla jicho. Ila kwa wazungu huenda nae analiwa jicho siku nyingine.
 
Wakati ukimshangaa huyo kumbuka hapa hapa Tanzania Kwako tena Jijini Dar es Salaam wako Watangazaji akina Richard Austin Quest ( Watambaliziwaji ) wengi na bahati nzuri wengi Wao ni ' Maarufu ' mno Kuanzia Mikocheni Mkabala ya Njia panda ya Coca Cola, Njia panda ya Kawe kama unaenda Msasani Club bila Kusahau na pale Mkabala na Bamaga na mwisho malizia Kisutu jirani ya NMB kote huko wamejazana na ' wananyabelika ' kweli kweli. Naomba niishie hapa tafadhali.
Hapo njia panda na coca nishakusoma hapo

Ova
 
Sisi weusi ndio wasafi?
Tofauti yetu na wazungu ni kwamba wapo wazi na sio wanafiki mkuu.
Unakuta mtu anafumua marinda mtaani akija huku na ID fake anaruka miles saba hayupo kwenye hayo mambo. What's that?
Upo sahihi kabisa mkuu
 
Wakati ukimshangaa huyo kumbuka hapa hapa Tanzania Kwako tena Jijini Dar es Salaam wako Watangazaji akina Richard Austin Quest ( Watambaliziwaji ) wengi na bahati nzuri wengi Wao ni ' Maarufu ' mno Kuanzia Mikocheni Mkabala ya Njia panda ya Coca Cola, Njia panda ya Kawe kama unaenda Msasani Club bila Kusahau na pale Mkabala na Bamaga na mwisho malizia Kisutu jirani ya NMB kote huko wamejazana na ' wananyabelika ' kweli kweli. Naomba niishie hapa tafadhali.
Mawinguni media.

Hata magogoni wapo.
 
Ndio maana watangazaji wengi wa CNN wanamchukia Trump
Kumbe wengi mabaradhuli na Trump hawapendi hata kidogo

Hawa wazungu ni tatizo kubwa
Umenikumbusha neno baradhuli kuna mpemba alinifahamisha kwanini Karume na Nyerere waliunganisha hizi nchi. Zanzibar wanatuletea Mahanithi na Maradhuli na Tanganyika tunawapelekea majambazi.
 
Wakati ukimshangaa huyo kumbuka hapa hapa Tanzania Kwako tena Jijini Dar es Salaam wako Watangazaji akina Richard Austin Quest ( Watambaliziwaji ) wengi na bahati nzuri wengi Wao ni ' Maarufu ' mno Kuanzia Mikocheni Mkabala ya Njia panda ya Coca Cola, Njia panda ya Kawe kama unaenda Msasani Club bila Kusahau na pale Mkabala na Bamaga na mwisho malizia Kisutu jirani ya NMB kote huko wamejazana na ' wananyabelika ' kweli kweli. Naomba niishie hapa tafadhali.
Hao watafaidika sana na serikali ijayo ya mwaka 2020 itakayoongozwa na mwanasheris nguli anayependwa na 99% ya watanganyika na wanaunguja pamoja na JF ukiwemo wewe mtama Genta...lol
 
Sisi weusi ndio wasafi?
Tofauti yetu na wazungu ni kwamba wapo wazi na sio wanafiki mkuu.
Unakuta mtu anafumua marinda mtaani akija huku na ID fake anaruka miles saba hayupo kwenye hayo mambo. What's that?
Inategemea marinda gani
 
Huwa najiuliza madhara ya hawa watu akina Quest ukilinganisha na watu kama Chenge, Ngereja, Tibaijuka, labda ushoga unaambukizwa? Binafsi huwa naamini hivi: "uhuru wa mwenzangu unapoishia ndipo uhuru wangu unapoanzia, hivo kuna mstari mkubwa unaotenganisha maisha aliyochagua kuishi Quest na maisha niliyochagua kuishi mimi" sijawahi kuumizwa life style ya mtu yeyote hata wife!
 
Utaambiwa unatetea ushoga mkuu.
 
Quest in 2014
BornRichard Austin Quest
9 March 1962 (age 57)
Liverpool, Merseyside, England
NationalityBritish
EducationAiredale and Wharfedale College
University of Leeds
Vanderbilt University
OccupationBarrister (non-practising)
Journalist
Notable credit(s)Business International
Quest Means Business
500 Questions

Mtangazaji wa kimataifa wa kituo cha CNN Richard quest ameweka wazi kuwa anafunga ndoa.Tofauti na kupongezwa badhi ya mashabiki wake walishangazwa saana kufaahamu kuwa yupo kwenye mahusiano ya wapenzi wa jinsia moja.

Hata hivyo mashabiki wengine walionyeshwa kukerwa kwani hawakuwahi tegemea mtu anayewapasha habari kila siku anauhusiano na mwanaume mwenzie.

Personal life
In 2008, Quest was arrested in New York City's Central Park with drugs in his pocket. Quest admitted being in possession of crystal methamphetamine, a controlled substance.[5]

On 26 June 2014, Quest described his past experience as a closeted gay man on his CNN television programme Quest Means Business.[6]
Hilo mbona siki nyingi sana linajulikana kuwa shoga.
 
Hilo jina tu quest
 
Back
Top Bottom